Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Fundi mzuri wa kujenga chemba kwa ubora kwa bei ya elfu kumi na nane no 0785707660View attachment 2497127
Kazi nzuri ila mwambie aende na wakati siku hizi wajanja wanatumia chemba za rodding eye kwenye sewage system

Screenshot_20221213-080457_Instagram.jpg
 
Kazi nzuri ila mwambie aende na wakati siku hizi wajanja wanatumia chemba za rodding eye kwenye sewage system

View attachment 2643374
Kila kitu kina tegemeana na mwenye kazi gharama na upatikanaji wa material mkuu nasisitiza kikubwa ni kuzingatia kanuni ya waste na soil na kuhakikisha drainage system hipo sawa
 
Always eneo usika ndilo lina amua utumie aina gani ya joint aswa kwenye wast na soil sehem yenye changamoto tunatumia joint ya Ytee au elbow ya 45° kikubwa kanuni ya waste and soil izingatiwe
Kwa kuzingatia uelekeo wa maji taka y-tee ilikuwa sahihi zaidi. Lengo ni flows ya maji . Mfano huu hapa
Screenshot_20220511-120409_Instagram.jpg
 
Kwa kuzingatia uelekeo wa maji taka y-tee ilikuwa sahihi zaidi. Lengo ni flows ya maji . Mfano huu hapaView attachment 2643410
Ytee tuna itumia endapo bomba la basin na Non trap zita kosa shap ya square so itabidi tutumie ytee badala ya Tee kuipata hiyo shape ambayo itakuwa V shap kuhusu flow ya maji ni kutegemeana vipimo vyako zaidi zaidi kufuata kanuni slop isiwe kali japo kwenye waste sio shida sana
 
Uzi maridadi sana. Vijana wetu changamoto yao kubwa ni uaminifu. Kiukweli plumber hydrogen uzi unautendea haki. Kama wewe ni mwaminifu, mbeleni kuna mazuri. zaidi. Ngoja nijipange ntakutafuta.
 
Uzi maridadi sana. Vijana wetu changamoto yao kubwa ni uaminifu. Kiukweli plumber hydrogen uzi unautendea haki. Kama wewe ni mwaminifu, mbeleni kuna mazuri. zaidi. Ngoja nijipange ntakutafuta.
Asante mkuu uhaminifu ndio ngao yangu nafanya kazi lakini uaminifu ndio mtaji wangu wa leo na kesho..
 
Leo naomba nieleze Valve na umuhimu wake

Valve ni nini? Ni kifaa ambacho kina control mtililiko wa maji mafuta mvuke na gas...Zipo aina nyingi za valve kulingana na matumizi ya eneo husika
 
Hii ina itwa Non return valve ina mshale maana yake ina peleka maji kwenye mwelekeo mmoja hii ina fungwa kwenye chanzo maji yanapotoka namanisha kwenye mamlaka za maji au kwenye matank lakini majumbani kwetu tunaitumia kutenganisha mifumo ya maji ya tank na yale ya kawaida(direct cold water) pia inasaidia msukomo wa maji kwa kiasi flani ukii funga kwenye bomba la kupeleka maji kwenye tank
IMG-20230611-WA0014.jpg
 
Hii ni stop cock nayo ina mshale maana yake ina peleka maji kwenye mwelekeo mmoja kazi kubwa hii ni ku control maji yenye pressure kubwa ina weza fungwa popote ndani au nje
IMG-20230611-WA0017.jpg
 
Hii ina itwa foot valve sifa ya hii ina fungwa kwenye vile visima vikubwa vya duara ambavyo mara nyingi maji yake uwa yanatokana na mvua (kuvunwa kupitia gata) au kwa kuwekwa kupitia maji ya mamlaka hivi visima au matanki yanakuwa yame sakafiwa chini hii pia ina mshale kwa baadhi lakini umbo ndio hilo hii inafungwa kwa pamoja na bomba ina uwezo nayo wa kuvuta maji pia ina saidia kuchuja maji pili inaondoa hewa isije ikapita kwenye bomba na kwenda kuaondoa ufanisi wa pressure pump...
IMG-20230611-WA0019.jpg
 
Hii ni float valve au wengine wana ita ball valve hii ina fungwa kwenye matank yetu ya maji tuliyo nayo majumbani kazi yake ni kuzuia maji kuingia yanapo jaa kwenye tank na kuruhu kuingia kwenye tank yanapo pungua pia inatumika kwenye flush tank kwenye za chooni kuruhusu maji kuingia na kuzuia maji kuingia yanapo jaa
IMG-20230611-WA0020.jpg
 
Hydrant fire valve hii ni valve kwa ajili ya janga la moto ina fungwa kwenye majengo makubwa au jengo la kawaida na mamlaka za maji uzifunga kwenye point za mitaa ili zimamoto wakija waitumie kupata maji
IMG-20230611-WA0023.jpg
 
Ball valve hii ni full way kazi yake ni ku control kimiminika hii hipo quick katika kufunga pia ina faa kufungwa kwenye mabomba ya gas
IMG-20230611-WA0024.jpg
 
Back
Top Bottom