Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Naomba mfano wa choo cha s trap
Shida ya P trap hilo eneo lenye arrow ndio conection kati ya choo na pipe ikichoka leakage ni kawaida kweye S trap uwezi kukuta kitu kama hicho.
gkn6gmh68oga1.jpg
 
Habari wakuu nimekuwa niki ulizwa kwanini flush tank kwenye choo cha kuchuchumaa presha ina kuwa ndogo sana wakati flush tank lime jaa maji au mtu mwingine ana kwambia mbona flush tank lipo juu na bado presha ni ndogo..

Kika waida flush cistern tank lime tengenezwa kuifadhi maji ambayo uta yatumia kuondoa uchafu baada ya aja..

Ukiona flush tank lina presha ndogo basi hizi ndizo sababu..

1.Baadhi ununua choo na kufanya setting huku akitegemea flush tank atanunua badae nini kina tokea mafundi ujenzi wakianza kupiga plasta udongo uingia kwenye tundu la kupitisha bomba la maji yanayo toka kwenye flush tank hivyo kupelekea maji kupita kidogo..


2.Kuna mafundi wanaweka maboksi kuziba hili badae hili badae flush tank liki nunuliwa waweke bomba zake so nayo yana weza kupelekea kuziba kwa tundu la hilo..

3..Choo kingine kinatoka kiwandani kikiwa na kasoro...


Nini ufanye ukikutana na shida hiyo ya presha kuwa ndogo mtafute fundi bomba apasue outlet ya ya choo cha kuchuchumaa kwa uangalifu na tatizo litakuwa limeisha na presha ita ongezeka
Kuna picha hapo chini ya choo ina helufi H hapo ndio kuna hilo tundu la outlet...
IMG_20240603_101852_001.jpg
IMG_20240611_133929_642.jpg
IMG_20240603_101852_2.jpg
 
Back
Top Bottom