Karibu tufanye biashara ya mazao mbalimbali kutoka Rungwe, Mbeya

Karibu tufanye biashara ya mazao mbalimbali kutoka Rungwe, Mbeya

Habari wanna JF.

Sisi n wasambazaji wa mazao mbalimbali kwaajili ya biashara sehemu mbalimbali tz bara, tuliamua kufanya hii kazi ili kuwarahisishia wafanya biashara mbalimbali kujipatia mazao wanayoyahitaji kwaajili ya biashara zao yanayopatikana huku RUNGWE mbeya kwagharama nafuu sana tena mzigo unakufikia sehemu ulipo kwa uhakika sana, pia tunafanya hivi ili kuwasaidia wateja wetu kuepukana na safari nyingi za kufuata mzigo wenyewe hasa kipindi hiki ambacho maambukizi ya ugonjwa wa COVD19 yanaongezeka kwakasi sana.

Mazao tunayosambaza ni kama yafuatayo; ndizi aina mbalimbali kwaajili ya matumizi ya familia pia kwaajili ya biashara, tangawizi kiasi chochote, Maziwa mtindi na Kahawa n.b iliyotok shamban.

Corona inaua tufuate taratibu za afya. stay saf, fanya biashara yako bila kuathili afya yako. Tuna connections mbalimbali za madreva wa magari wanaosafirisha mizigo mikoa mbalimbali

Kwamawasiliano Zaid 0782284770 piga au tum text Whatsapp

Ahsante

View attachment 1878654

View attachment 1878657

View attachment 1878659

View attachment 1878661

View attachment 1878662
Kama unatumia uaminifu nitumie mzigo ukifika nakutumia hela.
Kama wewe ukishindwa kuniamini mie nitakuamini vipi.
Je kampuni unayo uliyosajili ama ndo ukiumwa basi imetoka.
 
Back
Top Bottom