Habari za leo wadau wote wa Jamii Forum
Duka letu maarufu kwa biashara ya vitenge lililoko soko kuu kasulu mjini, kigoma, Tanzania Tuna furaha kuwatangazia kuwa tunazo aina zote za vitenge vikiwemo vitenge kutoka Tanzania, Kongo, Nigeria, Ghana na China (mfano Wax aina zote, Java za Kongo na Tanzania, Duanas, n.k). tunauza jumla na rejareja kwa bei nafuu na ubora wa kipekee. Pia tunatoa ushauri kwa mteja yeyote ambaye anataka kufanya biashara ya vitenge ili aweze kufanikiwa katika biashara yake.
Tunajivunia kutoa huduma bora za biashara ya vitenge kwa wateja wetu wote. Ikiwa uko mkoa wowote hapa Tanzania au nchi yoyote kama vile Burundi, Kenya, Uganda, Rwanda, au kwingineko, usiwe na wasiwasi! Mzigo wako utakufikia salama na kwa uaminifu mkubwa.
Ili kufanya biashara nasi, tafadhali wasiliana na sisi kupitia namba hii:
+255 622 334 273
(Piga simu au WhatsApp). Au unaweza kuni PM kwa maelekezo zaidi.
Tunakaribisha wateja wote na tunahakikisha huduma bora na haraka!
Usikose! Tunapatikana muda wote.
Asante kwa kuamini biashara yetu!
Kwa mwenye swali au maoni nitakuwa tayari kujibu
#Vitenge #Kasulu #Kigoma #Tanzania