Karibu tujadili fact za kisiasa: Kwa kujiweka katika viatu vya Rais wetu

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
17,929
Reaction score
33,764
Tuanze na swali,Je political strategy aliyotumia kushinda uchaguzi huu ilikuwa sahihi au haikuwa sahihi?? na kwa nini?
Maoni yako yazingatie fact zifuatazo;-

1.Dhamira ya mgombea ilikuwa ni lazima kushinda katika uchaguzi na kuendelea kuwa Rais;

2.Tukumbuke tayari alikuwa na model ya mtangulizi wake Magufuli aliyotumia 2020 ambayo ilifanya kazi kwa 💯;

3.Zingatia kuwa Mgombea anatokea upande wa Pili wa muungano hivyo hana mtaji wa watu kisiasa huku bara,kwa maana hii hata angegombea na mtu kama Kibajaji ndani ya CCM pekee asingeweza kutoboa;

4.Tukumbuke kuwa Mgombe ni Mama na Jamii ya kiafrika bado haipo tayari Wamama kushika nafasi hiyo,maana yake hata kupata kura ya mwanamke mwenzake pia ingewezekana ikawa shughuli;

5.Tuzingatie kuwa kwa kuwaruhusu chama shindani ,kungeweza kabisa kukuzika Chama tawala hasa ktk Ubunge na Udiwani;je angeweza kuchukua risk hiyo??
 
Kwa lugha rahisi asingeshida ule uchaguzi kama asinge fanya isiyo kawaida.
 
Tujadili nini wakati umejadili na kumaliza kila kitu? Umeuliza maswali na kuyajibu. Sasa unataka tujadili au kujibu nini? Sipendi kuwapa watu tags na. kutengeneza a tug of war. Nahisi kuna dalili za kuchawishana.
 
Tuanze na swali,Je political strategy aliyotumia kushinda uchaguzi huu ilikuwa sahihi au haikuwa sahihi?? na kwa nini?
Maoni yako yazingatie fact zifuatazo;-

1.Dhamira ya mgombea ilikuwa ni lazima kushinda katika uchaguzi na kuendelea kuwa Rais;

2.Tukumbuke tayari alikuwa na model ya mtangulizi wake Magufuli aliyotumia 2020 ambayo ilifanya kazi kwa 💯;

3.Zingatia kuwa Mgombea anatokea upande wa Pili wa muungano hivyo hana mtaji wa watu kisiasa huku bara,kwa maana hii hata angegombea na mtu kama Kibajaji ndani ya CCM pekee asingeweza kutoboa;

4.Tukumbuke kuwa Mgombe ni Mama na Jamii ya kiafrika bado haipo tayari Wamama kushika nafasi hiyo,maana yake hata kupata kura ya mwanamke mwenzake pia ingewezekana ikawa shughuli;

5.Tuzingatie kuwa kwa kuwaruhusu chama shindani ,kungeweza kabisa kukuzika Chama tawala hasa ktk Ubunge na Udiwani;je angeweza kuchukua risk hiyo??
Kwa hiyo kwa hizi hoja zako za ujanja pori unataka uzitumie kuhalalisha huyu mwizi wa madaraka kuwepo kwenye nafasi hiyo, au hoja yako ni nini haswa.
 
Rais wako na nani?
Wewe umeona kulikuwa na uchaguzi mwaka huu?

Hiyo mijadala tushavuka huko kitambo, sasa hivi tunataka HAKI HAKI HAKI
 
Haujaona mpaka makeup zinagoma kumkaa?

1. Alikuwa bypassed na bado situation iko vilevile.

2. Yuko pale kama placebo.

3. Inawezekana alitoa order ya kutumia nguvu kweli, lakini amekuja kushtuka mbona order yangu haikuwa ya kuua to this extent? Ni nani mwingine alitoa order juu ya order?

4. Kwa extent ya mauaji yale, hakuna anayemuamini tena kwa sasa, hivyo yuko PARANOID.

5. Kwa sasa hakubaliki nje na ndani, hata kama kuna wanaompa comfort kama akina born town lakini ni yeye ndiyo yuko front na siyo hao comforters.

6. Focus ya nchi nzima kwa sasa ni MAANDAMANO. Hakuna watakachofanya kikazaa matunda tena maana status quo iliyoko mtaani haiko upande wao tena!

There is a lot going on within her head, na yote yanahitaji maamuzi magumu sana kwa upande wao!

Mfano ili hali itulie, inabidi kuwaachia POLEPOLE, LISSU. GWAJIMA tayari wameshampa green light.
 
Tuanze na swali,Je political strategy aliyotumia kushinda uchaguzi huu ilikuwa sahihi au haikuwa sahihi?? na kwa nini?
Maoni yako yazingatie fact zifuatazo;-

1.Dhamira ya mgombea ilikuwa ni lazima kushinda katika uchaguzi na kuendelea kuwa Rais;

2.Tukumbuke tayari alikuwa na model ya mtangulizi wake Magufuli aliyotumia 2020 ambayo ilifanya kazi kwa 💯;

3.Zingatia kuwa Mgombea anatokea upande wa Pili wa muungano hivyo hana mtaji wa watu kisiasa huku bara,kwa maana hii hata angegombea na mtu kama Kibajaji ndani ya CCM pekee asingeweza kutoboa;

4.Tukumbuke kuwa Mgombe ni Mama na Jamii ya kiafrika bado haipo tayari Wamama kushika nafasi hiyo,maana yake hata kupata kura ya mwanamke mwenzake pia ingewezekana ikawa shughuli;

5.Tuzingatie kuwa kwa kuwaruhusu chama shindani ,kungeweza kabisa kukuzika Chama tawala hasa ktk Ubunge na Udiwani;je angeweza kuchukua risk hiyo??
IMG_6957.jpeg
 
Ujadilli na nani ?
******** wezio na mafala wezio hukohuko
20251113_153427.jpg
 
Back
Top Bottom