Karibu tujumuike Kidimbwi...

Karibu tujumuike Kidimbwi...

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Blessed Sunday

Nimechill zangu hapa kidimbwi mziki safi kabisa na ka upepo ka bahari kanapuliza kwa mbali, mezani na chupa zangu taratibu namaliza siku. Pisi zinapitapita sina habar nazo kama mnavojua mambo ya kidimbwini hapa ni moto. Ukigusa pisi utaskia laki2 dadeki,

Kama upo around karibu tujumuike maisha mafupi haya, napeleka mpaka saba hv naenda kulala.

KARIBUNI
 
Utanifanya nitoke Kibaha huku mbiombio kukufuata...🙉

Ahahahahahhaaa aaaiiilaaaabbyuuuuuu 😘😘

Babuuu mwenye sukari yakeeee.

Hivi babu huu wimbo ulipotoka hukuona kama umeimbiwa wewe ....!😆😆😆

Taaamuuuuu 😋😋😋😋
 
Ahahahahahhaaa aaaiiilaaaabbyuuuuuu 😘😘

Babuuu mwenye sukari yakeeee.

Hivi babu huu wimbo ulipotoka hukuona kama umeimbiwa wewe ....!😆😆😆

Taaamuuuuu 😋😋😋😋

Sana tu Kasinde...

Isipokuwa alikosea kitu kimoja tu, kauimbia kwenye shamba la visamvu/mihogo badala ya miwa/viazi vitamu
 
Sana tu Kasinde...

Isipokuwa alikosea kitu kimoja tu, kauimbia kwenye shamba la visamvu/mihogo badala ya miwa/viazi vitamu

Basi itabidi tufanye shooting nyingine kwenye shamba la viazi vitamu na miwa 😆😆

Morning shugaa 😍.
 
Basi itabidi tufanye shooting nyingine kwenye shamba la viazi vitamu na miwa 😆😆

Morning shugaa 😍.

Morning Kasinde wange...mdada mwenye rangi yake 😋😍🥰
 
Morning Kasinde wange...mdada mwenye rangi yake 😋😍🥰

Heeey sukari tamu....!

Missing you....

Aahahahahahaa rangi ya sprite...😅

How was your day?
 
Heeey sukari tamu....!

Missing you....

Aahahahahahaa rangi ya sprite...😅

How was your day?

Not bad, actually! Kasinde always know when to ask me.

Maybe you have some sort of magic gift 😍😋
 
Blessed Sunday

Nimechill zangu hapa kidimbwi mziki safi kabisa na ka upepo ka bahari kanapuliza kwa mbali, mezani na chupa zangu taratibu namaliza siku. Pisi zinapitapita sina habar nazo kama mnavojua mambo ya kidimbwini hapa ni moto. Ukigusa pisi utaskia laki2 dadeki,

Kama upo around karibu tujumuike maisha mafupi haya, napeleka mpaka saba hv naenda kulala.

KARIBUNI
Kidimbwi ya buza
 
Not bad, actually! Kasinde always know when to ask me.

Maybe you have some sort of magic gift 😍😋

Ahahhaahahahahahaaa

Hadi mashavu yametuna kwa compliments 😋😋😋😅.

Hivi mbadala wa sheli haukupatikana tena....!!!😔😔😔

And the chocolate 🍫 thing......😟...

Kuna jiwimbo limenijia kichwani, nimeishia kuliimba tuu....☺️.
 
Back
Top Bottom