Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Blessed Sunday
Nimechill zangu hapa kidimbwi mziki safi kabisa na ka upepo ka bahari kanapuliza kwa mbali, mezani na chupa zangu taratibu namaliza siku. Pisi zinapitapita sina habar nazo kama mnavojua mambo ya kidimbwini hapa ni moto. Ukigusa pisi utaskia laki2 dadeki,
Kama upo around karibu tujumuike maisha mafupi haya, napeleka mpaka saba hv naenda kulala.
KARIBUNI