Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Tuko humu ila ndo hao hao tulioko hapo kidimbwi...!
Tukijumuika ujue tunaunganisha meza tuu.
Sema SU..!
Upo kona gani[emoji28]
Huku chini kwenye mchanga kama unatokea jikoni mkono/upande wa kushoto.
Nimekuona, umevaa ki-blauzi cha maua maua.
Basiiiiii ππ½ππ½
Usiendeleeee, ndege wengi mchele mchache π π
Basiiiiii [emoji1430][emoji1430]
Usiendeleeee, ndege wengi mchele mchache [emoji28][emoji28]
π΅οΈ
Shugaaa njoo unichukueee na Nissan π, baridi ya upepo wa bahari ishakuwa kali....
Utanifanya nitoke Kibaha huku mbiombio kukufuata...π
Ahahahahahhaaa aaaiiilaaaabbyuuuuuu ππ
Babuuu mwenye sukari yakeeee.
Hivi babu huu wimbo ulipotoka hukuona kama umeimbiwa wewe ....!πππ
Taaamuuuuu ππππ
Sana tu Kasinde...
Isipokuwa alikosea kitu kimoja tu, kauimbia kwenye shamba la visamvu/mihogo badala ya miwa/viazi vitamu
Basi itabidi tufanye shooting nyingine kwenye shamba la viazi vitamu na miwa ππ
Morning shugaa π.
Morning Kasinde wange...mdada mwenye rangi yake πππ₯°
Heeey sukari tamu....!
Missing you....
Aahahahahahaa rangi ya sprite...π
How was your day?
What about vijojoleo? πππTukijumuika ujue tunaunganisha meza tuu
Kidimbwi ya buzaBlessed Sunday
Nimechill zangu hapa kidimbwi mziki safi kabisa na ka upepo ka bahari kanapuliza kwa mbali, mezani na chupa zangu taratibu namaliza siku. Pisi zinapitapita sina habar nazo kama mnavojua mambo ya kidimbwini hapa ni moto. Ukigusa pisi utaskia laki2 dadeki,
Kama upo around karibu tujumuike maisha mafupi haya, napeleka mpaka saba hv naenda kulala.
KARIBUNI
Not bad, actually! Kasinde always know when to ask me.
Maybe you have some sort of magic gift ππ