Karibu tujuzane viungo vya chai ya rangi

Karibu tujuzane viungo vya chai ya rangi

Hebu vilist hivyo viungo mpendwa
Moringa energy tea
1 tsp Moringa powder
2 tsp lemon juice
2 tsp honey

1/2 tsp ginger
1/2 tsp cinnamon
1 Cup of warm water


Mix well and serve.
 
Ok nimeelewa, ninayakausha Kwanza?
Sijawahi kunywa iced tea naisikia tu
26612C23-266D-44E9-AD43-4E2E93D460AA.jpeg
 
Karafuu+majani ya mparachichi
Tangawizi+Hiliki
Mdalasini + Tangawizi
Hiliki + Mdalasini+Mchaichai
Mchaichai + Mint+ mdalasini
Majani ya Mlonge+ Mchaichai + karafuu
Karafuu tupu
Mdalasini + pilipili manga
Majani ya limao+ majani ya mparachichi
Unga wa mbegu za parachichi + mdalasini
 
Karafuu+majani ya mparachichi
Tangawizi+Hiliki
Mdalasini + Tangawizi
Hiliki + Mdalasini+Mchaichai
Mchaichai + Mint+ mdalasini
Majani ya Mlonge+ Mchaichai + karafuu
Karafuu tupu
Mdalasini + pilipili manga
Majani ya limao+ majani ya mparachichi
Unga wa mbegu za parachichi + mdalasini
Duh si mchezo, majani ya parachichi?
 
Ndi
Duh si mchezo, majani ya parachichi?
Mkuu unapata chai nzuri yenyerangi ya dhahabu harufu ya kuvutia na kuifanya iwe tamu,
Ukipenda pia waweza tumia chai ya mbegu za parachichi
 
Ndi
Mkuu unapata chai nzuri yenyerangi ya dhahabu harufu ya kuvutia na kuifanya iwe tamu,
Ukipenda pia waweza tumia chai ya mbegu za parachichi
Mnanichanganya nyie jamani 🤣🤣🤣
 
Hii ni nzuri zaidi na hata ladha yake
1. Vitunguu swaumu
2. Pilipili manga
3. Mdalasini
4. Mafuta ya alizeti
5. Vitunguu maji..

Kaaanga mpaka viive kabisa viwe vya brown...halafu mimina maji yako chai.acha ichemke sana. Hapo tayari kwa kunywa.
 
Mdalasini, Karafuu na Hiliki, kaanga kidogo kisha saga mpaka upate unga wake, unakua unachota kidogo kidogo.... mchai mchai pia uko poa,
(OMG, chai ya mchai mchai [emoji7], i miss home)
KWANINI UKAANGE??
 
Nikikuta mdada anajifunza kutaka kujua kupika kitu chchte namtamani najiskia kumtaka taka tuuu yani...

Andaeni jamani mi naenda kuleta kichujio..et kipo kabatini eeeh au kule nnje
 
Back
Top Bottom