Ok nimeelewa, ninayakausha Kwanza?
Sijawahi kunywa iced tea naisikia tu
Okay, kesho najaribuNi kama unavyofanya kwa mchai chai
Unayachuma unayakosha unatilia kwenye maji unachemsha na viungo vinginevyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Moringa energy teaHebu vilist hivyo viungo mpendwa
Ok nimeelewa, ninayakausha Kwanza?
Sijawahi kunywa iced tea naisikia tu
Duh si mchezo, majani ya parachichi?Karafuu+majani ya mparachichi
Tangawizi+Hiliki
Mdalasini + Tangawizi
Hiliki + Mdalasini+Mchaichai
Mchaichai + Mint+ mdalasini
Majani ya Mlonge+ Mchaichai + karafuu
Karafuu tupu
Mdalasini + pilipili manga
Majani ya limao+ majani ya mparachichi
Unga wa mbegu za parachichi + mdalasini
Mkuu unapata chai nzuri yenyerangi ya dhahabu harufu ya kuvutia na kuifanya iwe tamu,Duh si mchezo, majani ya parachichi?
Unaiandaaje hyoUnaweza ku ongezea na Organic tea ya mlonge ni nzuri
KWANINI UKAANGE??Mdalasini, Karafuu na Hiliki, kaanga kidogo kisha saga mpaka upate unga wake, unakua unachota kidogo kidogo.... mchai mchai pia uko poa,
(OMG, chai ya mchai mchai [emoji7], i miss home)
Hiyo kunywa mwenyewe πππHii ni nzuri zaidi na hata ladha yake
1. Vitunguu swaumu
2. Pilipili manga
3. Mdalasini
4. Mafuta ya alizeti
5. Vitunguu maji..
Kaaanga mpaka viive kabisa viwe vya brown...halafu mimina maji yako chai.acha ichemke sana. Hapo tayari kwa kunywa.
Mwanamke hata awe mbaya ila akijua tu kupika KANIPATAππ Hiyo kali
wewe ungekua hupend kula hilo shavu Unataka kuniambia umerithi mkuu?? Na huu utamaduni wa kurithishana hadi mashavu huuuUnapenda sana kula wewe