NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
Hapo kwenye vitunguu swaumu mmmmmh! Chai pilau au MCHUZI mkuuHii ni nzuri zaidi na hata ladha yake
1. Vitunguu swaumu
2. Pilipili manga
3. Mdalasini
4. Mafuta ya alizeti
5. Vitunguu maji..
Kaaanga mpaka viive kabisa viwe vya brown...halafu mimina maji yako chai.acha ichemke sana. Hapo tayari kwa kunywa.
ipi tena mbona hamna kazi mamieeMmmmmmhhh!Basi kaaazi
Ili visagike vizuri na kutoa harufu nzuri.KWANINI UKAANGE??
Hiyo chai ya mbegu za parachichi niliwahi kupewa Mwanza niliuliza chai ya nini mbona ladha siilewi? nikajibiwa daah! nusu nirudishe 'chenji'Ndi
Mkuu unapata chai nzuri yenyerangi ya dhahabu harufu ya kuvutia na kuifanya iwe tamu,
Ukipenda pia waweza tumia chai ya mbegu za parachichi
Pole mkuu hiyo Haikuandaliwa vema ikiandaliwa na mtaalamu ni chai nzuri mnoHiyo chai ya mbegu za parachichi niliwahi kupewa Mwanza niliuliza chai ya nini mbona ladha siilewi? nikajibiwa daah! nusu nirudishe 'chenji'
Nikawaambia imenishinda.
Watamanitamani Mkuu Ni kazi ujue! Halafu SI ya kitotoipi tena mbona hamna kazi mamiee
Hii ya majani ya mparachichi ndo naisikia leo.Karafuu+majani ya mparachichi
Tangawizi+Hiliki
Mdalasini + Tangawizi
Hiliki + Mdalasini+Mchaichai
Mchaichai + Mint+ mdalasini
Majani ya Mlonge+ Mchaichai + karafuu
Karafuu tupu
Mdalasini + pilipili manga
Majani ya limao+ majani ya mparachichi
Unga wa mbegu za parachichi + mdalasini
HiyO Ni bonge la chai isiyo na madharaHii ya majani ya mparachichi ndo naisikia leo.
Utam wa chai uipike ikapikika na viungo vyake mujarab vikolee,..wallah huiachiii[emoji39][emoji39][emoji39]
Asante sana farkhina1)Karafuu
2)kungu manga (Nutmeg)
3)hiliki
3)pilipili mtama/manga (black peper) kidogo tu
4)mdalasini
Unavikaanga ivo (dry roasting).
Vikipoa unasaga unaweka kwenye chupa.
Siku ukipika chai sasa.
Weka maji kwenye sufuria .
Para/twanga tangawizi.
Na zile spices ulizosaga tayari
Unachemsha
Chai [emoji477]οΈ nzuri hii.
Cc THOMASS SANKARA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda sana chai, ratiba yangu ni asubuhi na usikuUmeona eeh me chai Ndio kitu kitachonifanya siku iwe nzuri au mbaya [emoji23][emoji23][emoji23],
Kikombe kimoja cha chai nzuri kabisa asubuhi kina make a different.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa mla kileo huyo...Umechelewa
And the bad thing wangu hanywi chai hata utilie kitu gani!![emoji35][emoji35][emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wapishi.
Naomba kufahamu jinsi ya kuandaa viungo vya chai ya rangi. Yaani niweke viungo pekee bila majani ya chai iwe tamu na kunukia vizuri.
Habari zenu wapishi.
Naomba kufahamu jinsi ya kuandaa viungo vya chai ya rangi. Yaani niweke viungo pekee bila majani ya chai iwe tamu na kunukia vizuri.