Karibu tukuandalie na ujifunze namna ya kuandaa Mpango biashara

Karibu tukuandalie na ujifunze namna ya kuandaa Mpango biashara

hoter.one5

Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
47
Reaction score
100
Mpango wa biashara ni andiko linalofafanua namna ya biashara mpya itakavyo anzishwa aunamna itakavyopanuliwa,kuboreshwa ama kuundwa upya.
Mpango huanza kwa uchambuzi wa soko na mazingira ili kutambua fursa na changamoto ambazo biashara itakumbana nazokatika kuanza ama kupanuka
MPANGO WA BIASHARA UNASEHEMU ZIPI?
  1. Kasha la nje
  2. Muhtasari wa mpango
  3. Muhtasari wa biashara
  4. Muhtasari wa mchanganuowa soko
  5. Mpango wa masoko
  6. Mpango wa udhalishaji
  7. Mpango wa uendeshaji
  8. Mpango wa fedha
  9. Mpango kazi wa mwaka wa kwanza

Kujua zaidi au ukihitaji msaada wa kuandaliwa maana tunajua kusoma pekee haitoshi kama unauhitaji wasiliana nami kwa namba 0626 402 722 kwa huduma za usajili wa kampuni brela,majina ya biashara,wasifu wa kampuni,kuandaa hesabu za biashara (individual/company)usisite kuwasiliana nami namba tajwa hapo juu email: [email protected] au [email protected]
 
Back
Top Bottom