Mpango wa biashara ni andiko linalofafanua namna ya biashara mpya itakavyo anzishwa aunamna itakavyopanuliwa,kuboreshwa ama kuundwa upya.
Mpango huanza kwa uchambuzi wa soko na mazingira ili kutambua fursa na changamoto ambazo biashara itakumbana nazokatika kuanza ama kupanuka MPANGO WA BIASHARA UNASEHEMU ZIPI?
Kasha la nje
Muhtasari wa mpango
Muhtasari wa biashara
Muhtasari wa mchanganuowa soko
Mpango wa masoko
Mpango wa udhalishaji
Mpango wa uendeshaji
Mpango wa fedha
Mpango kazi wa mwaka wa kwanza
Kujua zaidi au ukihitaji msaada wa kuandaliwa maana tunajua kusoma pekee haitoshi kama unauhitaji wasiliana nami kwa namba 0626 402 722 kwa huduma za usajili wa kampuni brela,majina ya biashara,wasifu wa kampuni,kuandaa hesabu za biashara (individual/company)usisite kuwasiliana nami namba tajwa hapo juu email: bizewiseconsultancy@gmail.com au theo350789@gmail.com