Karibu Tukufanyie Wiring ya umeme kwema Jengo lako kwa gharama nafuu sana.Tuna leseni na tupo kwenye mfumo wa nikonekti TANESCO

Joined
Jun 25, 2022
Posts
28
Reaction score
27
FUNDI UMEME.(Wiring za umeme)

-Tunafanya Wiring za umeme kwa gharama nafuu sana.
-Ikiwa umefikia stage ya kuweka miundombinu ya umeme kwenye Jengo lako wasiliana nasi, Kumbuka stage ya kwanza ni kabla ya kupiga plasta ambapo ni kuweka box za switches na kuchimbia conduit pipes ukutani.

Tuna Leseni Ya ukandarasi wa wiring za umeme na tupo Kwenye mfumo Wa Nikonekt ambapo tunakukamilishia ombi la kufungiwa umeme ndani ya muda mfupi bila kufika ofisi za Tanesco.
Mawasilino

0734840433 call/WhatsApp.
Tunapatikana Dar es salaam.
Mikoa mingine tunakufikia.

 

Attachments

  • IMG_20220117_220413_987.jpg
    618.1 KB · Views: 19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…