AH architectural
Senior Member
- Jul 30, 2017
- 118
- 82
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibuni sana
Hii inaweza kufanyika kuanzia 1,200,000 mpaka 1,500,000 maelewano pia yanakuwepo kulingana na hali ya mteja.Kwa nyumba ya vyumba vya kulala 2 kimoja masta choo cha public sebule na jiko pesa y ufundi. Makadilio tu
Lakini pia inategemea na aina ya paa je ni la ndani yaaniHii inaweza kufanyika kuanzia 1,200,000 mpaka 1,500,000 maelewano pia yanakuwepo kulingana na hali ya mteja.
Kama ni gharama tu za fundi naweza kuzungumza ( 600,000 mpaka 750,000).
Kama ni gharama tu za fundi naweza kuzungumza ( 600,000 mpaka 750,000).
Nashukuru sanaAhsante kwa taarifa...
Aina ya Paa ni ContemporaryHii inaweza kufanyika kuanzia 1,200,000 mpaka 1,500,000 maelewano pia yanakuwepo kulingana na hali ya mteja.
Kuhusu makadirio inabidi tufike site kwako tuchukue vipime nyumba nzima halafu tunapaua kwenye computer ili tupate madirio sahihi.Aina ya Paa ni Contemporary
Kuhusu makadirio inabidi tufike site kwako tuchukue vipimo vya nyumba nzima halafu tunapaua kwenye computer ili tupate madirio sahihi. Hii inatusaidia kupata mwongozo mzuri wa kazi kuepusha kufanya kazi ya kubahatisha.