Mnachora ramani na kutafuta building permit?Karibuni sana mawasiliano yetu
WHATSAPP 0758 614 119
Mpo mkoa gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnachora ramani na kutafuta building permit?Karibuni sana mawasiliano yetu
WHATSAPP 0758 614 119
Vyote tunafanya tupo Mbezi mwisho Dar es salaam.Mnachora ramani na kutafuta building permit?
Mpo mkoa gani
Naomba niweke makadirio yake hapa kama ifuatavyo.Hii nyumba imekula gharama kiasi gani kuipaua?
Hii nyumba ina ukubwa gani? Idadi ya rooms?Naomba niweke makadirio yake hapa kama ifuatavyo.
1: HATUA YA MBAO
View attachment 2360078View attachment 2360079
View attachment 2360098
View attachment 2360100
Mbao zinauzwa kwa futi hivyo tumefanya mahesabu kwa futi na kuweka idadi ya futi.
2: HATUA YA BATI
Bati iliyotumika inaitwa BRICK RED ROYAL VERSERTILE ROOFING SHEET kutoka ALAF.
View attachment 2360087View attachment 2360088View attachment 2360089View attachment 2360090
Hayo ndiyo yalikuwa makadirio ya jengo hilo na yalienda kwa ukamilifu.
1. Sitting roomHii nyumba ina ukubwa gani? Idadi ya rooms?
Mzeya ramani mnachora kwa bei gani?Pia ramani tunachora na kufuatilia kibali.