Karibu tukupaulie nyumba yako

Naamini watu wengi wamekwamishwa na kujikuta wameingia kwenye madeni wasiyotarajiwa.
 
Kwa nyumba ya vyumba vya kulala 2 kimoja masta choo cha public sebule na jiko pesa y ufundi. Makadilio tu
Hii inaweza kufanyika kuanzia 1,200,000 mpaka 1,500,000 maelewano pia yanakuwepo kulingana na hali ya mteja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…