Karibu tunauza Bata wa aina zote na Kuku wa mapambo: Tupo Bunju Dar

cecilia99

Member
Joined
Sep 23, 2026
Posts
5
Reaction score
3
Tunauza bata wa aina mbalimbali kwa bei nzuri. Wapo wakubwa wa kutaga pamoja na vifaranga wadogo.
  • Bata mzinga – Jozi TSh 250,000/= (wakubwa wa kutaga na wadogo wanapatikana)
  • Bata Bukini – Jozi TSh 250,000/= (wakubwa na wadogo wanapatikana)
  • Bata Pikini – Jozi TSh 150,000/= (wadogo wanapatikana)
  • Bata maji – Jozi TSh 55,000/= (wadogo wanapatikana)
Pia tunapatikana na aina mbalimbali za kuku wa mapambo:
  • Brahma
  • Kuchi
  • Siliki
  • Polish
Karibu kwa ajili ya ufugaji wa kisasa na upatikanaji wa ndege bora.




 
Nataka njiwa wa kawaida na wa mapambo
 
Jozi ndo nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…