Habari wakuu,
Za asubuhi. Happy sabbath day kwa wasabato but all in all we thank the almighty kwa weekend nyingine tena. Nimecreate thread hii spesheli kwaajil ya kupeana codes za sehemu mbali mbali, wapi pana happen na wapi pakwenda. Si mbaya hata ukiwa sehemu fulani ukatoa code(GR) watu wakatimba pande hizo (usijali kuhusu anonymity yako), wala hutoulizwa eti mkuu umevaaje, lol. As matter of fact mimi asubuhi hii as am back from jogging, najiandaa kwenye saa nne nishuke hapo nguruko annex kibao cha shule nifanye kama napata mchemsho hivi then codes za baadae zitaeleweka baadae. Salute!