agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaHii Bar ya mtaani kwetu haina hata jina , tupo wawili tu hapa, naona na wahudumu wanacheza karata
Kumalija nimekula Serengeti na kulala hapo sana nkiwa naenda au kutoka Mwanza coz ni pembeni kabisa ya stand ya nyegeziKumalija hotel Nyegezi naramba balimi uku nikisubiri simu za wadau
Yep yep, pametulia sana hata ukiwa na mpango wa kando mambo ni safi kabisa.Kumalija nimekula Serengeti na kulala hapo sana nkiwa naenda au kutoka Mwanza coz ni pembeni kabisa ya stand ya nyegezi
Hii avatar yako na unachokisema,Forty forty hapa, tabata bima bata batani
Wapi Kilimanjaro hotel,Plazma lodge,weekend car wash,misana hotel noma noma babu.Kumalija hotel Nyegezi naramba balimi uku nikisubiri simu za wadau
MmhHahahaah Nipo hapa Nefaland Hotel, naingia Sauna kwanza nipunguze Mafuta kisha Baadae nielekee Madoto Kigogo kwa Mangi nikapate kitimoto then kwa Mwakasege