Shukran sana kiongozi kwa ushauri mzuri kwani Buseresere ni nje ya Katoro kabisa au sio mbali sana kutokea hapoMkuu si uende buseresere kule sokon utakuta wauza mitumba kibao na zpo store za marobota ulza bei. Mi npo katoro town kbs ila si kwa mishe hzo. Sehemu unazoweza uzia ni ccm, buseresere na kule ambako zmejengwa fremu mpya ukitoka katoro stand km unaelekea geita. Mi nataman anzsha biashara fulan ndogo tu bt napambana kupata kamtaji. NB: USKURUPUKE KUMWAGA HELA KWNY BIASHARA KUBWA WKT HUJUI ABC ZA MJI NA WENYEJI KUWA MAKINI MJI HUU WATU WANAAMINI UCHAWI, UGANGA KWNY MAMBO MENGI SN FULL USHIRIKINA JPANGE VEMA OTHERWISE 0748628429
Buseresere inahesabika ipo chato bt huko ndko kuna biashara zote unazozjua si mbali kbs kutoka katoro stand to buseresere zpo bajaji, baiskel naul 500 tu toka katoro stand, pia unaweza kutembea tu unafka kbs hapana umbali wowote, nafkiri mwendazake alifanya kumega buseresere iwe chato sbb ya mapato bt ukwel n kwmb buseresere n katoro na huko ndko palipo na stand ya zaman ya mabus ya katoro.Shukran sana kiongozi kwa ushauri mzuri kwani Buseresere ni nje ya Katoro kabisa au sio mbali sana kutokea hapo
Mtoa mada fuata ushauri wa huyu kaka Ila Namba zake za cm usichukueMkuu si uende Buseresere kule sokon utakuta wauza mitumba kibao na zpo store za marobota ulza bei. Mi npo katoro town kbs ila si kwa mishe hzo. Sehemu unazoweza uzia ni ccm, buseresere na kule ambako zmejengwa fremu mpya ukitoka katoro stand km unaelekea geita.
Mi nataman anzsha biashara fulan ndogo tu bt napambana kupata kamtaji. NB: USKURUPUKE KUMWAGA HELA KWNY BIASHARA KUBWA WKT HUJUI ABC ZA MJI NA WENYEJI KUWA MAKINI MJI HUU WATU WANAAMINI UCHAWI, UGANGA KWNY MAMBO MENGI SN FULL USHIRIKINA JPANGE VEMA OTHERWISE 0748628429
Kwamba akchukua nmb zng ndo nitamuibia au tamtapeli au siyo? Lengo kumuwekea nmb ya cm si kuhtaji pesa wala kumshauri kufanya anachopanga kufanya asfanye ye afanye tu nmb nimeweka kwa lengo la akikwama jambo khs hcho anachouliza anaweza nicheck jf ina watu weng humu watu wanapata msaada wengne wanatapeliwa ila nakuona ni kama unahisi tamtapeli. Mi katoro nazjua center nyng kias chake mpk ziszo maarufu sina lengo lingne zaid ya kumsaidia wp anaweza kufanya jambo, mi mpk biharamulo huko napajua naweza mwambia mtu akafanye nn sa kama we unadhan mi ni kama wale unanikosea sn dada. Otherwise mi nimetoa maoni apambane ajuavyo.Mtoa mada fuata ushauri wa huyu kaka Ila Namba zake za cm usichukue
Nmeongea kwa matani hapo mwisho kwani msahada si anahitaji kweliKwamba akchukua nmb zng ndo nitamuibia au tamtapeli au siyo? Lengo kumuwekea nmb ya cm si kuhtaji pesa wala kumshauri kufanya anachopanga kufanya asfanye ye afanye tu nmb nimeweka kwa lengo la akikwama jambo khs hcho anachouliza anaweza nicheck jf ina watu weng humu watu wanapata msaada wengne wanatapeliwa ila nakuona ni kama unahisi tamtapeli. Mi katoro nazjua center nyng kias chake mpk ziszo maarufu sina lengo lingne zaid ya kumsaidia wp anaweza kufanya jambo, mi mpk biharamulo huko napajua naweza mwambia mtu akafanye nn sa kama we unadhan mi ni kama wale unanikosea sn dada. Otherwise mi nimetoa maoni apambane ajuavyo.
Namba nimefuta nafkiri umerizka na tashukuru kama nae alikuwa hajaichukua, haya mpe ushauri ndugu ili ajue anaanzia wp.Mtoa mada fuata ushauri wa huyu kaka Ila Namba zake za cm usichukue
Si nimemwambia afuate ushauri wakoNamba nimefuta nafkiri umerizka na tashukuru kama nae alikuwa hajaichukua, haya mpe ushauri ndugu ili ajue anaanzia wp.
Hahahaaaa kwani huko kila nyumba kuna mtaalam km TangaKama hujui uchawi usije kwa kukurupuka
Sio nyumban,huku uchawi unatumika zaidi kwenye biasharaHahahaaaa kwani huko kila nyumba kuna mtaalam km Tanga
Unakuta wafanyabiashara wenzio karibia wote wanatumia uchawiHahahaaaa kwani huko kila nyumba kuna mtaalam km Tanga
si uchawi tu inshu n kwamba matokeo ya kila ktu dunian chanzo chake n ulimwengu wa roho ambao una upande wa gza huko kuna uchawi, mizimu, uganga, ushirikina, majini, mapepo. Lakin pia upende wa nuru huko ndko kuna MUNGU WA MBINGUNI. Na pande hz watu wanaozjua siri za mafanikio wamechagua upande ili kufanikisha maisha na mambo yao shda ni kila upande una taratibu na masharti yake lazma ufate ili ufanikiwe. Msione watu wanajazana kwa mwamposa mkawaita vichaa au hawapend kaz big no wale wanajua siri za ulimwengu wa roho, kama huna upande hutoboi maisha yako yote na askudanganye mtu eti ye ametoboa tu hana upande ni muongo, wengne wanalindwa na mizimu ya kwao bila wao kujua walishaunganishwa uko mfano wachaga mnazan ni kwann wanaendaga kwao kila mwsho wa mwaka, hayo n mambo ya nguvu za ulimwengu wa roho. NB: UKIONA NAONGEA PUMBA KAUSHA, BT JAMAA AJE AMEJPANGA NA ACHAGUE UPANDE. MUNGU WA MBINGUNI NI CHAGUO BORA.Kama hujui uchawi usije kwa kukurupuka
Huko kwa sisi wepesi haitufai....Sio nyumban,huku uchawi unatumika zaidi kwenye biashara
Uamuzi ni wako.Mimi sio mwenyeji sana katika mji huu ila natamani sana kuanza biashara ya Nguo za watoto Katoro sema sina connection ya frame na bado sijajua fursa zilizopo Katoro
Kwahiyo nawakaribisha wanajamii kwa mawazo. Nikijua nitapata ushauri mzuri wa sehemu hiyo na bei za frame, ikiwezekana na connection.
#TupigekaziMunguatabariki,
Matajiri wengi wa katoro historia zao ni ushirikina na ujambaziKuna tajiri mmoja hapa katoro ana hotel inasemekana masharti aliyokuwa amepewa na kuua watoto alikuwa anawagonga na gari yake, jamaa alikuwa anagawa hela kama maji, sjui alikosea nn tunavyozungumza hapa jamaa kawa kichaa na hotel yake watu na ndugu zake wanaogopa hata kuisogelea na hakuna anataman kuinunua ipo gzani. Kwa wenyeji wa huku wameshaelewa namaanisha hotel ipi ipo road kbs ukiwa unatokea katoro stand kama unaenda geita.