Karibu tupeane fursa za Katoro, Geita

Ila mkuu umenitisha kusema eti ukitaka kutoboa lazima uchague upande mmoja,sasa mimi hizo pande zote sipo labda ngoja nisubir mizimu yangu iniamulie
 
Ila mkuu umenitisha kusema eti ukitaka kutoboa lazima uchague upande mmoja,sasa mimi hizo pande zote sipo labda ngoja nisubir mizimu yangu iniamulie
Mkuu huo ndo ukwel fatilia nyendo za waliotoboa uone japo weng ni wasira hata huko maofsn kuna mambo ya kutisha nyuma ya pazia ukzubaa utatimuliwa kaz ukiwa mbishi unazkwa mzee kama huna upande. Kwny ndoa pia ni hvyhvy ukzubaa umeliwa, kuna watu wanahangaika sn hata wapate mtaji kama wa MO ni swala la muda tu hamna ktu inshu ni wengne walishazkwa tena kwa vitendo kbs na wenye nguvu ulimwengu wa roho na wakafanya matanga kbs we unapuyanga ktaa kumbe maisha yako yapo kaburini au ulishatupwa huko hz mambo znahtaji mwenye kuzjua si mwny mihemko, wengne humu huwa wanapnga sn uksema haya mambo shda wengne ndo washrikina na wachawi pia wengne hawana uelewa nayo, wengne wanajua ila hawataki wengne wajue maana wanalonga watoto wa watu huko maofsn na biashara. Mizmu ya kwenu ulzia wazee wako bush kwenu.
 
Msigombane jmn kikubwa tusaidiane
 
Ahsante sana kwa ushaur kiongoz
Mambo ya jamii forum mm sio mtaalamu sana hata sielewi mambo ya ID
 
WE MDANGANYE TU AJE KICHWA KICHWA NARUDIA TENA WE MDANGANYE HAKUNA ALIYEMZUIA KUJA KUFANYA ANACHOTAKA BT TUMEMPA ANGALZO AJE AMEJPANGA KAMA NI UPANDE WA SHETANI AU MUNGU NJE YA HAPO HAKUNA RANGI ATAACHA KUONA humu watu ni wajuaji sn hata kwny mambo msiyoyajua, ndo maana wny kujua mambo ya ulimwengu wa roho wanatesa sn watu na wengne wamefanikiwa sn.
 
Unaushahidi wa unayoyasema au Ni rumors tu.

Huwezi kufanya biashara unategemea dawa au ushirikina hiyo biashara itakushinda.


Kanunu za biashara Ni zilezile tu..nidhamu, ubunifu, soko n.k

Labda Kama unatka kufanya kafara sawa.
 
Kila la kheri mleta uzi..kapige kazi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Unaushahidi wa unayoyasema au Ni rumors tu.

Huwezi kufanya biashara unategemea dawa au ushirikina hiyo biashara itakushinda.


Kanunu za biashara Ni zilezile tu..nidhamu, ubunifu, soko n.k

Labda Kama unatka kufanya kafara sawa.
Ndiyo ninao ushahid wa kutosha hzo nidhamu, ubunifu sjui soko vinafanikiwa ukiwa tyr una nguvu ya ulimwengu wa roho, halafu utambue mi sjamwambia ategemee uchawi nimemwambia awe na upande kama anaamin ktk MUNGU na iwe hvyo awe muombaji na mtenda mema kwel tena maomb ya vita ulimwengu wa roho ya kushndana na kila mabaya tatzo weng husema wanamuomba MUNGU bt njia zao hazielewek wanajikuta hawana upande, kwa taarifa yako ulimwengu wa roho mtu anaweza funga duka lako wateja wakawa hawalioni kbs wengne wanauza mpk wanachoka ila we wateja hawakuon hutak acha. Uslete ujuaji kwny mambo usiyoyajua watu wana mitihan wasiyojua chanzo chake n nn, bt chanzo ni ulimwengu wa roho ujuaji unawamalza watu weng sn.
 
Unaushahidi wa unayoyasema au Ni rumors tu.

Huwezi kufanya biashara unategemea dawa au ushirikina hiyo biashara itakushinda.


Kanunu za biashara Ni zilezile tu..nidhamu, ubunifu, soko n.k

Labda Kama unatka kufanya kafara sawa.
Chifu acha ubishi kwa mambo ambayo hauna uelewa nayo anachokuambia huyo ni kitu cha kweli,mambo mengine potezea tu usijifanye mjuaji kwa kauli za kitoto eti nidhamu ,ubunifu na blah blah nyingine nikuambie kitu biashara ina mambo sana
 
Chifu acha ubishi kwa mambo ambayo hauna uelewa nayo anachokuambia huyo ni kitu cha kweli,mambo mengine potezea tu usijifanye mjuaji kwa kauli za kitoto eti nidhamu ,ubunifu na blah blah nyingine nikuambie kitu biashara ina mambo sana
Mkuu si biashara tu hata maisha ya kawaida kama MUNGU Angetufunulia macho kuona namna ulimwengu wa roho watu wanavyoutumia kuharibu maisha ya watu kingewaka ndugu kwa ndugu, mzazi kwa mtoto, rafk kwa rafk ogopa sn dunia ina siri nyng na siri zko huko kama huna nguvu za kushndana uko hakuna rangi utaacha kuona wapo watu wanakesha usku kucha wakiwa uchi wa mnyama ili tu waharibu familia ya mtu au kaz ya mtu au biashara ya mtu, kuna familia zpo watu wote wamesoma na wana kaz lakn ni masikin wa kutupwa lakn chanzo cha hayo ni ulimwengu wa roho kuna watu wanavurugu uchumi wa familia nzma hamtoboi.
 
Ninajua sana hayo mambo yashanitokea kwangu na kwawatu wangu wa karibu
 
Ninajua sana hayo mambo yashanitokea kwangu na kwawatu wangu wa karibu
Vema kama unayajua, ngoja niwape watu mfano 1, ulishawahi kosana na mtu unashangaa anakwambia TUTAONA halafu akasepa, sa iko hv uspoona amekuvamia kmwili na ukawa unamuona tu hana inshu na wewe kaa mkao wa kula unaenda pgwa ulimwengu wa roho utashangaa mambo yako yameharibka na uwenda akakuhamisha huo mji kbs utajkuta tu unahama tena unaenda mbali kbs au kama umeajiriwa utajikuta tu umeamua kuacha kaz bila sbb za msingi au unafanya kosa fulan kwa bosi wako ksha unatimuliwa na hii haijalish umeambiwa na mtoto tu au ndugu yako au rafk yako au mshkaji tu ktaa ni hatari sn. Pili wale wazazi hakikshen mtoto anapozaliwa mama akshakabziwa kchanga chake ahakikshe anakiombea maomb ya kufuta kila neno baya kalichotamkiwa kila uchawa kalikofanyiwa kuna watu wabaya huwa wanaharibu maisha ya watu sku tu walipozaliwa wanaweza kuwa ni manesi au ndugu kbs au bibi au babu ogopa.
 
Biashara gani hio ndogo.mkuu

mwagika tu tubadilishane mawazo
 
Kwamba mtu akija dukani unaweza ukamuuzia chumvi wakati yeye anataka mkanda kwa sababu ya uchawi?
Sio hivyo,huku ukiwa na jiran zako wanaofanya biashara kama yako inaweza tokea ukawa hauuzi ila wao wanauza
 
Kwa kuamini imani za kipumbavu hadi leo hii ndio maana Africa tupo nyuma kwa kila kitu!,huo uchawi mbona hausaidii tuwe na maisha bora?
 
Wameacha kuzungumzia fursa za biashara kama ambavo mtoa mada alitaka, wameanza kuzungumzia uchawi sijui na nininini!!!

Kwa watafutaji hivyo vyote tunaweka ni constant(Ceteris Paribus).

Mada ni fursa zilizopo hapo (Katoro)
 
Kwamba mtu akija dukani unaweza ukamuuzia chumvi wakati yeye anataka mkanda kwa sababu ya uchawi?
Yan kwa jbu lako hili kwa mwny ufahamu hawez poteza muda kujbzana na ww. Narudia jf humu kumejaa watu wajuaji sn sn hata kwa mambo yasiyohtaji ujuaji kila mtu humu hujidai amefanikiwa na anajua kila ktu, watu hawajui kutofautisha mambo ya ulimwengu wa mwili wa macho na nyama na ulimwengu wa roho, kwa taarifa yako sasa hata vyakula wanavyouziwa weng kwa mama ntilie vngne si vyakula halisi unaona ni ubwabwa na nyama kumbe si halisi kbs, kuna wengne wanafanya biashara wako uchi wa mnyama ila watu wasio na nguvu ulimwengu wa roho hawaoni, kuna wengne wanakuja na hela ambazo si halis na unamuuzia ktu kumbe hujapewa pesa halis simaanish bandia hapa namaanisha unapewa ktu mfano wa pesa kumbe si pesa kfuatacho unashangaa unafilisika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…