Karibu tupeane fursa za Katoro, Geita

Nadhani wamekuelewa..haya mpe mleta uzi fursa za kibiashara hapo katoro.

#MaendeleoHayanaChama
 
Katoro is overrated otherwise km unataka kufanya biashara za umachinga

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Ule wingi wa watu pale unawachanganya sana..wakati watu huja kununu dagaa za kula huko migodini.

#MaendeleoHayanaChama
Ndio namwambia...so far hakuna mfabiashara yoyote serious wa kanda ya ziwa aliewekeza katoro hta Serengeti breweries walifungua depot yao mwisho wa siku waliifunga coz wana katoro wamezoea pombe kali za bei rahisi.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Watu wa kule wengi ni masikini hivyo hata bidhaa zao ni cheap sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Fursa za biashara watu wanaanza umasikini wao ooh uchawi
Nasema hakuna uchawi ni kasumba za kijima tu
Piga kazi siku 365 kwa bidii na utafanikiwa
Sijawahi kuona uchawi bali wachapa kazi tu
Nakuja huko na mtaniona nawekeza bila ndumba
Acha nisome fursa kwanza
Na post ya uchawi na ignore [emoji1]
 

Hii ndiyo Katoro!

Ukienda kichwa kichwa utaondoka kwa uzuni.

Usafiri mkubwa kwq mozigo mizito ni wa punda kubebea mizigo ikiwemo michanga, kokoto, nk.

Usafiri wa kawaida unaoongoza ni Pikipiki, zinafuata Baiskeli na Bajaj.

 
Wapi huko wanauza nguo Kali grade one za reja reja, suruali, mashati au viatu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…