Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,183
Kwa kawaida unakliki uzi husika, usishughulike na jina. Ukikliki uzi husika katika unapelekwa moja kwa moja kwenye meseji.Unapopata alert mtu kaquote au kulike Meseji wako unapoclick jina la huyo mtu na meseji yako aliyolike au kuquote hapelekwi direct kwenye ile Meseji ili uone alichoquote mtu inabidi uscroll mpaka uufikie
Naipenda JF kwangu ndio forum bora all the timeHabari za mchana bila kupoteza muda karibuni tuzungumze juu ya hii social network yetu jamiiforum kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu.
Tumekuwa tukizumgumza hoja mbalimbali kwenye nyanja tofauti tofauti kuzionyesha mazuri, mabaya, changamoto na ushauri katika mambo hayo.
Leo hapa karibuni tueleze yote ya moyoni katika hii jamii yetu ya jamiiforum kuanzia uongozi wake hadi member wake kuona changamoto uzuri ubaya dukuduku ushauri na kitu chochote kuhusu Jf.
Karibuni sana uwanja ni wenu.
Tuanze na weweweny kero zao wanakuja
Sent from my Android phone
Hasa hasa hawa viumbe wenzetuKuna watu umu wanatabia ya kujihisihisi sijui awajiamin unaweza kuzungumzia tabia za watu flan, ujacoment kitu kuhusu wao mda uo anakuja juu kwa ghadhabu wakati ujataja jina,.. Naomba kujihisihisi kuishe,.. Eeh ayo ndo yadukuduku moyoni
watu kuchgia vtu nje ya madaTuanze na wewe
Hasa hasa hawa viumbe wenzetu
Kwa kawaida unakliki uzi husika, usishughulike na jina. Ukikliki uzi husika katika unapelekwa moja kwa moja kwenye meseji.
Nimekuelewa vyema. Yawezekana, kifaa unachotumia kina mushkeli. Kwa sababu mimi nikiklikiuzi napelekwa moja kwa moja kwenye ujumbe ulionakiliwa bila kuskroli.Naclick uzi sio jina la aliyequote najua ukiclick jina unaenda kwenye details, za aliyequote.Mfano ulipoquote meseji yangu kwenye uzi wako,napoclick uzi wako sipelekwi direct kwenye ujumbe wangu uliouquote.sijui unanielewa? Napelekwa tu kwenye page yenye ujumbe wangu uliouquote lakini ili nione hapo ulipoquote inabidi ni scroll kwenye hiyo peji. Mpaka nifike hapo ulipopaquote
Nimekuelewa vyema. Yawezekana, kifaa unachotumia kina mushkeli. Kwa sababu mimi nikiklikiuzi napelekwa moja kwa moja kwenye ujumbe ulionakiliwa bila kuskroli.
Kwani kitufe cha dislike kitapunguza watu kutoa pumba?kitufe cha dslike kiletwe
Sent from my Android phone