Karibu tuzungumze juu ya JamiiForums

Karibu tuzungumze juu ya JamiiForums

Perpendicular

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2015
Posts
1,494
Reaction score
1,183
Habari za mchana bila kupoteza muda karibuni tuzungumze juu ya hii social network yetu jamiiforum kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu.

Tumekuwa tukizumgumza hoja mbalimbali kwenye nyanja tofauti tofauti kuzionyesha mazuri, mabaya, changamoto na ushauri katika mambo hayo.

Leo hapa karibuni tueleze yote ya moyoni katika hii jamii yetu ya jamiiforum kuanzia uongozi wake hadi member wake kuona changamoto uzuri ubaya dukuduku ushauri na kitu chochote kuhusu JF.

Karibuni sana uwanja ni wenu.
 
Kuna watu umu wanatabia ya kujihisihisi sijui awajiamin unaweza kuzungumzia tabia za watu flan, ujacoment kitu kuhusu wao mda uo anakuja juu kwa ghadhabu wakati ujataja jina,.. Naomba kujihisihisi kuishe,.. Eeh ayo ndo yadukuduku moyoni
 
Unapopata alert mtu kaquote au kulike Meseji wako unapoclick jina la huyo mtu na meseji yako aliyolike au kuquote hapelekwi direct kwenye ile Meseji ili uone alichoquote mtu inabidi uscroll mpaka uufikie
Kwa kawaida unakliki uzi husika, usishughulike na jina. Ukikliki uzi husika katika unapelekwa moja kwa moja kwenye meseji.
 
Habari za mchana bila kupoteza muda karibuni tuzungumze juu ya hii social network yetu jamiiforum kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu.

Tumekuwa tukizumgumza hoja mbalimbali kwenye nyanja tofauti tofauti kuzionyesha mazuri, mabaya, changamoto na ushauri katika mambo hayo.

Leo hapa karibuni tueleze yote ya moyoni katika hii jamii yetu ya jamiiforum kuanzia uongozi wake hadi member wake kuona changamoto uzuri ubaya dukuduku ushauri na kitu chochote kuhusu Jf.

Karibuni sana uwanja ni wenu.
Naipenda JF kwangu ndio forum bora all the time

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu umu wanatabia ya kujihisihisi sijui awajiamin unaweza kuzungumzia tabia za watu flan, ujacoment kitu kuhusu wao mda uo anakuja juu kwa ghadhabu wakati ujataja jina,.. Naomba kujihisihisi kuishe,.. Eeh ayo ndo yadukuduku moyoni
Hasa hasa hawa viumbe wenzetu
 
jamii forum iko poa, ila kuna changamoto kadhaa

1, member wapunguze thread za kutunga,, walete za uhalisia ili zilete tija

2, lugha zilizo kinyume na maadili yetu,

3, ukatuni wa baadhi ya member humu,

4, picha za misambwanda zimezidi kweli hasa huyu jamaa * yaan ana wafuasi humu, akipost tu, utaona wanavotiririka

NB: NAPATA HABARI HUMIMU KWA MUDA MWAFAKA, NIMEACHA KUSOMA MAGAZETI [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

n0 r0se with0ut th0rn
 
Kwa kawaida unakliki uzi husika, usishughulike na jina. Ukikliki uzi husika katika unapelekwa moja kwa moja kwenye meseji.

Naclick uzi sio jina la aliyequote najua ukiclick jina unaenda kwenye details, za aliyequote.Mfano ulipoquote meseji yangu kwenye uzi wako,napoclick uzi wako sipelekwi direct kwenye ujumbe wangu uliouquote.sijui unanielewa? Napelekwa tu kwenye page yenye ujumbe wangu uliouquote lakini ili nione hapo ulipoquote inabidi ni scroll kwenye hiyo peji. Mpaka nifike hapo ulipopaquote
 
Nimekuelewa vyema. Yawezekana, kifaa unachotumia kina mushkeli. Kwa sababu mimi nikiklikiuzi napelekwa moja kwa moja kwenye ujumbe ulionakiliwa bila kuskroli.
 
Back
Top Bottom