Karibu tuzungumze juu ya JamiiForums

Naomba kitufe cha ignore/block kiboreshwe Ili ukimtia mtu block basi tusionane kabisa. Maana wengine wamezaliwa 2015 utoto mwingi hawajakua
 
Naomba kitufe cha ignore/block kiboreshwe Ili ukimtia mtu block basi tusionane kabisa. Maana wengine wamezaliwa 2015 utoto mwingi hawajakua
Hii ni kweli. Block iwe kweli kweli sio comment zake zinajificha lkn ukitaka kuzisoma unazisoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…