Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,183
- Thread starter
- #21
Kitufe cha dislike kitapunguza utoto?Mods waongeze vitufe vya dislike maana kuna watu wanaandika utoto humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitufe cha dislike kitapunguza utoto?Mods waongeze vitufe vya dislike maana kuna watu wanaandika utoto humu
kwa kias flanKwani kitufe cha dislike kitapunguza watu kutoa pumba?
Mbona ipo
Labda ungesababisha watu watafutwe wakapimwe mkojoNimefutiwa uzi wangu na mods
Hii ni kweli. Block iwe kweli kweli sio comment zake zinajificha lkn ukitaka kuzisoma unazisomaNaomba kitufe cha ignore/block kiboreshwe Ili ukimtia mtu block basi tusionane kabisa. Maana wengine wamezaliwa 2015 utoto mwingi hawajakua
Cizan ila dah...ulikuwa unachangamsha flan ivLabda ungesababisha watu watafutwe wakapimwe mkojo
Ha haaa pole sanaCizan ila dah...ulikuwa unachangamsha flan iv
Nmeshapoa tearHa haaa pole sana
Na kukujibu anakujibu. Yaani kitufe cha block wakitazame kwa jicho la tatuHii ni kweli. Block iwe kweli kweli sio comment zake zinajificha lkn ukitaka kuzisoma unazisoma
Hakina maana bora wakiondoeNa kukujibu anakujibu. Yaani kitufe cha block wakitazame kwa jicho la tatu
Roho mbaya baby!Na kukujibu anakujibu. Yaani kitufe cha block wakitazame kwa jicho la tatu
Kwanini sasa???
Watu wengine akili za kitoto bado.
Aisee sipendagi stress. Tia block tu
Kama hivi[emoji1] [emoji2] [emoji24] [emoji24] [emoji40] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji13] au?Naomba viongezwe vitufe hapo kwenye like, quote au reply. Viongezwe vya furaha na majonzi