jahanbaksh
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 122
- 161
Karibuni Ndugu zangu wana Jamii forum katika uzi huu upate nunua/Agiza Gari kutoka CARHUNT JAPAN
Katika uzi huu nitaweka Bei ya Gari ambayo itajumuisha Bei ya Gari na Usafirishaji (C&F), Gharama za TBS na Clearing Fee. Kwa ufafanuzi tu ni kwamba sisi hatuna yard hapa Tanzania Bali Yard yetu ipo Japan ambapo Gari zinatoka
Gari lako litakufikia Tanzania ndani wiki zisizozidi sita baada ya kufanya malipo ya awali ya manunuzi ambayo ni (C&F). Pia malipo yatakuwa katika Dola za kimarekani hivyo basi katika kuondoa mkanganyiko wa bei unaotakana na kupanda na kushuka kwa bei ya dola hivyo nitatumia uwiano wa dola 1 sawa na 2320Tsh (USD/TZS =2320)
Pia waweza fika ofisini kwetu au kupiga namba nitakayoindika hapa chini kwa huduma zaid
Ilala District
Bridge and Mansfield Street , Samora AVENUE
Shop No.6, Ground Floor,Samora Towers
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: +255 737 881 888
Nyongeza: Ukiwasiliana nasi naomba utuambie kuwa umeliona Tangazo Jamii forum, Nipate hesabiwa ka commission kangu 😊😊😊
KARIBUNI SANA CARHUNT