Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
- #21
WE ARE OPEN COMRADES. WELCOME
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShukrAn mkuu, karibu sana.Kila la kheri Mkuu.
MAPAMBANO YAENDELEE!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
ShukrAn mkuu kwa ushauri. Nimepokea ushauri wako, Niko kwenye maandaliz ya awali. Physical visiting muhimu sana... Unawez pia niachie address ya ofisi yako inbox pia. Utekelezaji wa hilo nitauanz mwakani inshallahNashauri upite na kwenye makampuni kupeleka business card na vipeperushi vya biashara yako mkuu
Tv niki hitaji vip nitapataSir midwabada
0628 731833
Tv kutoka wapi mkuuTv niki hitaji vip nitapata
Mm nipo dar esa laam kijichi mbgarTv kutoka wapi mkuu
Ndo unatka TV mkuu si uende kariakooMm nipo dar esa laam kijichi mbgar
Kkoo ninavyo jua mm wanauza nguoNdo unatka TV mkuu si uende kariakoo
Nenda mtaa wa ndanda na masasi ulizia duka linaitwa mashariki Hilo ndo chimbo la hizo lipo nyuma ya ghorofa la china plazaKkoo ninavyo jua mm wanauza nguo
Mtaa gani?Nenda mtaa wa ndanda na masasi ulizia duka linaitwa mashariki Hilo ndo chimbo la hizo lipo nyuma ya ghorofa la china plaza