MABATI YA SUNBAK TANZANIA
JF-Expert Member
- Jan 10, 2025
- 217
- 577
HakikaSawa sawa
Bei zipo mkuuBila kuweka bei hapa ni utapeli kama utapeli mwingine
USSR
Zipo Mkuu KaribuBati ya chenga geji 30 za bando zipo?
Bei imechangamka kweri kweri
Mkuu kama unaweza weka picha na bei. Ila najua hakuna picha ya Gauge.Zipo Mkuu Karibu
Waweza pia kupitia price list yetu hapo katika Tangazo pamoja na aina za mabati , geji na bei zake.
Okay nalifanyia Kazi swala lako na usisite kutupigia kwa maelezo zaidi au kututafuta WhatsApp.Mkuu kama unaweza weka picha na bei. Ila najua hakuna picha ya Gauge.
Mfano smooth inaonekanaje