INAUZWA Karibu ujipatie magodoro safi na bora

Rich Forever

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
467
Reaction score
469
Karibuni sana mjipatie magodoro ya kila aina safi yenye ubora uliohakikiwa na kupitishwa na TBS napatikana kinondoni biafra
Yapo magodoro yenye size mbalimbali kulingana na mahitaji yako na bei mbali mbali fika ofisini kwa maelezo ya uhakika

Mawasiliano
0784640214
0719590756







 
Nna swali huwalinaniumiza sana kichwa,

Hivi kwanini nyie watu wa magodoro kwenye vipimo vyenu mmeishia futi 6×6

Wengine sisi tukilala nyayo zetu zinabaki zinaning'inia Nia TU chini.

Ukijaribu kujikunja, nyayo zisiliwe na mbu.

Asbuh unaamka mwili wote unauma, hasa mgongo.

Yaan
Nmezunguka maduka mengi kutafta angalau godolo la futi 7 au 8 nilale nijinafasi nmelikosa.

Hii imekaaje mkuu
 

Hapo mkuu ni mambo ya viwandani tu kuwauliza pia kwa jinsi ninavyoona kwa upeo wangu nyie mpo wachache sana sasa pengine watengenezaji waliona wakitoa godoro nyingi za watu kama nyie hasara ipo karibu yanaweza kukaaa sana au yasipate wateja kabisa
 
Kama upo karibu na kiwanda cha magodoro unaagiza special order na utapata , lkn pia itabidi umpange fundi seremala akutengenezee kitanda cha ukubwa wa godoro unalolitaka.
 
Mkuu magodoro yako unatoa guarantee ya kutobonyea katikati? Na kwa muda gani?
Maana kila Siku mie na dada ako tunakutana katikati kwenye shimo la godoro lililobonyea kama vile tupo kwenye kitanda cha teremka tukaze . Na godoro ni jipya tu .
 
Mkuu magodoro yako unatoa guarantee ya kutobonyea katikati? Na kwa muda gani?
Maana kila Siku mie na dada ako tunakutana katikati kwenye shimo la godoro lililobonyea kama vile tupo kwenye kitanda cha teremka tukaze . Na godoro ni jipya tu .

Mwaka mkuu bila ubishi
 
Vip kitanda Kama hicho naweza kukipata kwa bei gani?
 
Mkuu una urefu kama Hasheem Thabiti nini😀 hivi mtu hawezi kuwasiliana na watu wa kiwandani direct kuweka special order? Mbu wasijemaliza nyayo zako mkuu😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…