Karibu ujipatie ng'ombe wa maziwa Tukuyu Mbeya

munroe

Senior Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
108
Reaction score
91
Tunauza ng'ombe bora wa maziwa aina ya aryshire, freisian, jersey. Na crossbreed zake

Bei zake ni rafiki kulingana na ubora wake

Tunao ndama, nusu mitamba,mitamba, wanaokamuliwa, wenye mimba kubwa Wenye mimba na miziwa na kuendelea.

Tupigie au tuma ujumbe WhatsApp kwa picha na maelezo zaidi. 0756416149

View attachment 3076604View attachment 3076605
 
Mkuu usiweke bei maana naona Kuna watu wanakuforce ilihali ng'ombe ni wako.
Sasa kama ng'ombe ni wake kwanini anataka kumbadilisha na pesa?

Ng'ombe sio wake bhana, bali anammiliki sawa na yule mmiliki wa pesa anaemtaka ng'ombe. Cha kuwafanya wakutane ni taarifa sahihi ya picha ya ng'ombe na picha ya pesa au maandishi ya pesa zinazotakiwa kubadilishana umiliki. Sa km hujaweka ofa yako ya kuuza bas utakuwa Dalali wewe
 
Ndugu zangu bei nikulingana na sifa za ng'ombe mfano mwenye maziwa lita 20 kwa siku bei yake 2.7m
Kwa maelezo zaidi nipigie 0756416149View attachment 3081010
Your browser is not able to display this video.
 
Hivi kuna ng'ombe wa 3m/- nowadays? Kweli tumeingia ufugaji wa kibiashara.
 
Tupigie 0756416149
Your browser is not able to display this video.
 
Shida ya nchi yangu hakunaga kitu Kiko na bei eti maelewano ndo mana tangazo mujarabu kama hili hakuna hata bei
Hizi ni dalili za upigaji, mtu anaandika maelezo marefu ila hawezi kutaja bei
 
Hivi kuna ng'ombe wa 3m/- nowadays? Kweli tumeingia ufugaji wa kibiashara.
Huyo mwekundu jamaa anasema alimnhnu akiwa ndama wa miezi 3 kwa million moja na mama yake alimnunua kqa 6m. Huyo ni miaka mitatu iliyopita.

Ukiweka 10m mezani anaweza akafikiria kutoa.
Anatoa minimum 25lts.


Afrifarm wanauza ngombe mtamba mwenywnmimba 5m . Tena unasubiria kama miezi 6 hivi. Maana kuna watu kibao qapo kwenyw folenj
 

Attachments

  • IMG-20240905-WA0083.jpg
    251.7 KB · Views: 25
  • IMG-20240905-WA0070.jpg
    33 KB · Views: 21
Amezaa ana week moja ndama wake jike
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…