Karibu ujipatie ng'ombe wa maziwa Tukuyu Mbeya

Karibu ujipatie ng'ombe wa maziwa Tukuyu Mbeya

Aryshire
 
Tunauza ng'ombe bora wa maziwa aina ya aryshire, freisian, jersey. Na crossbreed zake

Bei zake ni rafiki kulingana na ubora wake

Tunao ndama, nusu mitamba,mitamba, wanaokamuliwa, wenye mimba kubwa Wenye mimba na miziwa na kuendelea.

Tupigie au tuma ujumbe WhatsApp kwa picha na maelezo zaidi. 0756416149

View attachment 3076604View attachment 3076605View attachment 3076606View attachment 3076612
Ukiwazingua wanaweza kurusha mawe???😀

Tukuju kwetu mna products nzuri sana kuanzia mazao mpaka mifugo.
 
Back
Top Bottom