Karibu uone kazi zangu za kupaua kisasa

Joined
Oct 1, 2018
Posts
16
Reaction score
21
A/alaikum. Jina langu Muharrami. Baadhi ya kazi zangu ni hizi hapa. Napatikana vikindu - mkuranga, njee kidogo na Dar es sallam. Uaminifu wangu katika kazi ndio silaha yangu kubwa. Popote Tanzania na nnje ya Tanzania nafanya kazi. Namba zangu za simu ni Tigo 0655 595 954 pamoja na Airtell 0687 056 309
 
Afadhali mwenyewe umekuja aisee,
Kuna dalali mmoja anajiita Erick Kalemela ashatapeli sana watu kwa kutumia picha zako,
Toka UZ kwa Jacque mpaka hapa JF
 
Nakupa pongezi,tumechukua namba muda ukifika tutakutafuta kwa kazi
 
Kama hizi ni kazi zako, mkuu wewe ni noma. Nimependa sana.
 
Waswas wangu ni mpiga picha alisimama wapi kupiga hizo picha au ulitumia dron
 
Waswas wangu ni mpiga picha alisimama wapi kupiga hizo picha au ulitumia dron
 
Hivi jamani naomba niulize wataalam au wenye information. Kwa nini paa linapandishwa sana kiasi hiki? Kiukweli mimi paa la namna hii halinibariki kabisa. Au labda kuna faida za kutundika paa namna hiyo ambazo mimi sizijui? Hebu wajuvi tusaidiane. Maana mimi nikiona paa limetundikwa hivi yaani nakereka sana.

Labda nikipewa faida zake/sababu naweza jifunza mawili au matatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…