Jambo lakwanza hawa ni wateja kama wewe na sisi hua tunafanya kulingana na matakwa ya mtena japo ukihitaji kinyume na mazingira tutashauriana kama utahitaji unavyotaka tutafanya japo paa ilioinuka kiasi fulani inasaidia kua mbali na gpsam inayopelekea kukosekana kwa krek inayotokana na joto linalopiga kwenye gpsam kingine maji yanshuka kwa muda mchache inayopelekea kutoacha unyevu nyevu unayosababisha kuoza kwa haraka naka utafaatilia mapaa yaliolala sana hayakawii kuoza kwa mfano kama umeweka bati ndani aliezilaza na aliezisimamisha zitaanza kuoza aliezilaza tena hata mwaka haotofika uo ndio ufahamu wangu ila mwisho wa siku tunafanya kazi kulingana na matakwa ya mteja naomba kuasilisha.Hivi jamani naomba niulize wataalam au wenye information. Kwa nini paa linapandishwa sana kiasi hiki? Kiukweli mimi paa la namna hii halinibariki kabisa. Au labda kuna faida za kutundika paa namna hiyo ambazo mimi sizijui? Hebu wajuvi tusaidiane. Maana mimi nikiona paa limetundikwa hivi yaani nakereka sana.
Labda nikipewa faida zake/sababu naweza jifunza mawili au matatu.
Tupe idea kuhusu gharama za kupaua......bei za fundi na bei za paa zenyewe, n.k.sawa mkuu nitakuchek jion
Huyu jamaa hizi ni kazi zake kabisa, mimi nimeshamtumia, ingawa ana gharama kidogo, ila kazi zake ni nzuri sanaKama kazi zako hizo Hongera.
Hii ni mitindo ya sikunyingi katika nchi za ugaibuni ya kupendezesha nyumba na kukufanya wewe usipende kupiga piga misere hovyo na kupachukia nyumbani.Faida: inapendezesha nyumba,halitunzi matone ya maji ya mvua (tone likitua tu tayari limeshuka chini),linachelewa kupata kutu,linaacha uwazi mkubwa ndani unaweza kutumia kama stoo n.k Hasara: mbao nyingi hutumika, bati nyingi hutumika,ni garama,risk pia kwa fundi kama mteremko utakuwa mkali sana n.kHivi jamani naomba niulize wataalam au wenye information. Kwa nini paa linapandishwa sana kiasi hiki? Kiukweli mimi paa la namna hii halinibariki kabisa. Au labda kuna faida za kutundika paa namna hiyo ambazo mimi sizijui? Hebu wajuvi tusaidiane. Maana mimi nikiona paa limetundikwa hivi yaani nakereka sana.
Labda nikipewa faida zake/sababu naweza jifunza mawili au matatu.
Uko vyema sana sheheNapatikana vikindu mkuranga nnje kidogo na darView attachment 885271View attachment 885272View attachment 885273View attachment 885274