Karibu uone kazi zangu za kupaua kisasa

Jambo lakwanza hawa ni wateja kama wewe na sisi hua tunafanya kulingana na matakwa ya mtena japo ukihitaji kinyume na mazingira tutashauriana kama utahitaji unavyotaka tutafanya japo paa ilioinuka kiasi fulani inasaidia kua mbali na gpsam inayopelekea kukosekana kwa krek inayotokana na joto linalopiga kwenye gpsam kingine maji yanshuka kwa muda mchache inayopelekea kutoacha unyevu nyevu unayosababisha kuoza kwa haraka naka utafaatilia mapaa yaliolala sana hayakawii kuoza kwa mfano kama umeweka bati ndani aliezilaza na aliezisimamisha zitaanza kuoza aliezilaza tena hata mwaka haotofika uo ndio ufahamu wangu ila mwisho wa siku tunafanya kazi kulingana na matakwa ya mteja naomba kuasilisha.
 
Baada ya kukosa mpinzani Ujenzi Zone naona umeamua kuja kukimbiza na huku pia.
Utafikiri umezaliwa juu ya Paa Sheikh?
 
Hii ni mitindo ya sikunyingi katika nchi za ugaibuni ya kupendezesha nyumba na kukufanya wewe usipende kupiga piga misere hovyo na kupachukia nyumbani.Faida: inapendezesha nyumba,halitunzi matone ya maji ya mvua (tone likitua tu tayari limeshuka chini),linachelewa kupata kutu,linaacha uwazi mkubwa ndani unaweza kutumia kama stoo n.k Hasara: mbao nyingi hutumika, bati nyingi hutumika,ni garama,risk pia kwa fundi kama mteremko utakuwa mkali sana n.k
 
Mimi pia nimemtumia huyu Fundi. Ana team yake ya watu saba. Wakiweka kambi ni muda wa swala Na kazi. Uaminifu kwake ni Mkubwa Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…