nyumbanzuribeinzuri
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 2,144
- 276
- Thread starter
-
- #301
Vipo kila MahaliNaweza kupata kiwanja tambarare maeneo ya Mkolani /Buhongwa/Igoma/Kishiri/Kanindo/Sahwa/Buswelu/Kiseke/Kisesa/ au sehemu nyingine karibu na mjini kilichopimwa ? Niambie ulivyonavyo na bei zake kaka.