House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Bado mnatafuta NYUMBA/PLOT MWANZA?

  • 1.Ndio

    Votes: 5 83.3%
  • 2.Hapana

    Votes: 1 16.7%
  • 3.Sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    6
  • Poll closed .
Bisweru
Viwanja
Vipo vidogo,Vya kati, vikubwa nk
Upimaji shiriki(vina Bikoni)
Document zipo
Ukubwa kuanzia 20*35 mil 2.5
Wakati chini ya ukubwa huo n kuanzia mil2.5 hadi mil 1.5
Karibuni sana
0767-241001whatsup
0620-690670

NB
Tunavyo viwanja kila kona ww sema unataka wapi kuanzia vidogo hadi vikubwa Vya heka nane huko

NB
Nyumba za kuuza Nazi zipo nyingi sana unataka bajeti yako tu sisi tutakupa yako

NB
Wapangaji Nyumba zenu zipo kila kona karibuni sana
IMG_20190621_094924_626.JPG
Screenshot_20190620-141642.jpg
Screenshot_20190620-141606.jpg
IMG_20190619_174048_743.JPG
IMG_20190618_115103_946.JPG
 
Mkuyuni/Nyegezi/Buhongwa/makalai
Chumba Sebure
Self room zote
Maji 24/7
Fenced
Kanyumba kamoja katki hizi Unaingia kwa kubonyeza KENGERE
Bei Elfu80,lk1 nyingine lk20
Karibuni sana
0767-241001 sana
IMG_20190621_123024_283.jpg
IMG_20190621_122854_473.jpg
IMG_20190621_123203_275.jpg
IMG_20190621_124108_762.jpg
IMG_20190621_091130_632.jpg
IMG_20190620_173011_884.JPG
 

Attachments

  • IMG_20190621_123055_032.JPG
    IMG_20190621_123055_032.JPG
    29.6 KB · Views: 42
  • IMG_20190621_122821_637.jpg
    IMG_20190621_122821_637.jpg
    60.4 KB · Views: 29
Kesho ntaeleza changamoto muhimu sana kwa watu Wa Nyumba Na Ardhi msikose wateja wangu, mungu awabariki sana,hii n zaidi ya Biashara alamsiki(black& white) natambua support yenu wateja n wangi since I join JF watu wanajitokeza sana wasomi Na wafanyabiashara
 
Maduka 9
Vyumba vitano
master viwili
Gorofa
Mil 8 kwa mwaka
Fensi
0767-241001whatsup
IMG_20190624_134722_678.JPG
IMG_20190624_134722_678.JPG
IMG_20190624_134722_678.JPG
 
Nyaisaka
Kiwanja
Eneo Lina Hati
Ukubwa 30*35
Bei mil 16
Maji&Umeme vipo
Matajili wakubwa mwz
majirani
Toka stendi ya basi dakika 10
Kuna kaboma kadogo kachoma (fremu hakajaisha )
 

Attachments

  • IMG_20190624_141510.jpg
    IMG_20190624_141510.jpg
    55.6 KB · Views: 39
  • IMG_20190624_142235.jpg
    IMG_20190624_142235.jpg
    27 KB · Views: 40
  • IMG_20190624_141637.jpg
    IMG_20190624_141637.jpg
    41.4 KB · Views: 28
  • IMG_20190624_140731.jpg
    IMG_20190624_140731.jpg
    45.3 KB · Views: 28
  • IMG_20190624_133543.jpg
    IMG_20190624_133543.jpg
    106 KB · Views: 31
  • IMG_20190624_142256.jpg
    IMG_20190624_142256.jpg
    37.7 KB · Views: 32
  • IMG_20190624_133849.jpg
    IMG_20190624_133849.jpg
    60.7 KB · Views: 29
Black&white !!!!!
Am unhappy with kindergarten graduate client From no where!!! Others SPOILING my page but am sorry for ROYAL client,
I get deals from SAUT,MIPANGO,Doctors from BUGANDO,CBE STUDENTS ,Giant lawyers from court,lectures some are foreigners, Biggest Business men in city,common people,list at not last,
i ippreciate very much your SUPPORT thank you , but arrasment big No, (eat and homes sleepers) please better keep quite than to disrespect my page,
not FAIR my negative client (Biashara ya Nyumba au viwanja kupanga sio kama VOCHA unanua kwanza ndio unajaza kwenye simu ikikataa kuingia imekula kwako HUKU TUNAONA KWANZA NDIO TUNALIPIA MY DEAR (if you have +contributions join us what's up we are 24/7)

I gave ten times my rhetoric about my project in this thread but some may be their IQ have low charge
(Sorry if am wrong in tenses you know kayumba graduate+ don't came back if you don't ippreciate expert, land officer & lawyer)


NB
Tuambie unataka Nyumba wapi,lini,bajeti yako sisi tutakutafutia tu popote
0767-241001(what's up)
 
Viwanja au Nyumba siuzi kama hutaki kumleta Afisa Ardhi (ambaye n GOD SERVANT)hata kama kuna hati nimeona mambo mengi ya hati feki/hewa,viwanja feki/hewa, bikoni feki/hewa au zimehamishwa kwa makusudi tu ili MTU auze ,kama huna Na ujui utampata wapi ntakupa Wa kwangu lkn utamlipia ww kuhusu mwanasheria nimekuachia ww lkn n MTU muhimu sana USITUMBUKIZE PESA ZAKO CHOONI analipiaje Kiwanja/nyumba bira hawa watu !!!!
(Wapangaji hamuhusiki hapa my dears)
 
Huku hatuseme uongo kwa sababu tuchukue Pesa zenu!!! Nimeshangaa sana kadri ninavyosema ukweli support n kubwa, Biashara inakuwa busy sana, sorry kwa wateja wanao chelewa kujibiwa, site busy & asanteni sana, wateja WAPO TAYALI KULIPA KILA KITU LKN UKWELI mtumpu
Sisi hatutaki vitu Vya Ujanja ujanja sababu kubwa watu waliopo nyuma yetu wana ndoto zao nimewahi kukosa Pesa nyingi kwa sababu ya watu wzr Wa Ardhi, ingawa wateja walikuwa tayari kulipa Pesa zao kwa vitu ambavyo ni feki !!!!
 
My dear Hint point >100 callings per day,500 what's up msg,common msg unmentioned!!!!! Sorry I wish to get PS now, no quickly feedback some while THANKS FOR YOUR support, god blessed you my clients
 
Nyamadoke Busweru
Kuna kanyumba kaslopu 2 rooms
Watu wanaishi
Kiwanja kimekaa kama V
Mil 3
Upimaji shirikishi
Document zipo
0767-241001whatsup
IMG_20190626_150429_724.JPG
 
Mkuyuni
Chumba Sebure (master)
Jiko
Bei lk 1.2
0767-241001whats up

NB
Nnakanyumba kadogo kanajitegemea kila kitu Na kapo ndani ya fensi yake kana jiko, sebure, Chumba master Big Bite njia ya maduka

Nyumba zipo kila kona we sema tu unataka wapi,lini,bajeti yako 9
IMG_20190626_153651_472.jpg
IMG_20190626_153548_260.JPG
IMG_20190626_144654_281.JPG
 
Kesho ntaeleza changamoto muhimu sana kwa watu Wa Nyumba Na Ardhi msikose wateja wangu, mungu awabariki sana,hii n zaidi ya Biashara alamsiki(black& white) natambua support yenu wateja n wangi since I join JF watu wanajitokeza sana wasomi Na wafanyabiashara
Habari Kaka!!! Nyumba nzima yenye vyumba viwili jiko na sebule maeneo ya usagara naweza kupata kwa bei gani???
 
Back
Top Bottom