House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Bado mnatafuta NYUMBA/PLOT MWANZA?

  • 1.Ndio

    Votes: 5 83.3%
  • 2.Hapana

    Votes: 1 16.7%
  • 3.Sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    6
  • Poll closed .
Contena
Ft 20
Mil 4
Ft 40
Mil 8
Lipo lenye friji pia mil 18
Unaweza kuligeuza
Duka
Nyumba ya kuishi
Kubebea Samaki
Ukabebea mzgo kwenye gari lako
0767-2410001whatsupView attachment 1132144View attachment 1132145View attachment 1132146View attachment 1132147View attachment 1132148
Kwanini usiuze kwa bei anayotaka mmilikia ukalipwa percent yako hadi upandishe bei hovyo hovyo

Hivi huoni kwamba unaweza kumcheleweshea mwenye mali yako kuuza pia unamuumiza mteja wako?

Screenshot_20190620-152259_GBInsta.jpeg
 
Buhongwa chumba self na sebure kubwa, public toilet ndani ya geti,karibu na barabara bei isizidi 50. Kama vipo weka picha mkuu
 
Nyegezi stendi!!!
Chumba,sebure&choo ndani
Maji& Umeme 24/7
Kisima kipo kama
maji yatakatika
Dakika 10 toka stendi Nyegezi
Bei lk1 kwa mwez x 6 =600,000/=
0767-241001
0620-690670

NB
Njoo umejiandaa,
tueleze sifa za Nyumba unayotaka,wapi,Bajeti
yako (Kupitia what's up yetu VD)
sisi kazi yetu n kukutafutia





View attachment 1126571
Haka hakapo ndani ya fensi? Na vipi kashatembea?
 
Anapokea miezi mingapi? Mitatu anakubali?

Kuna gharama ada yoyote ambayo inabidi nikulipe tofauti na kodi? Kama ipo ni kiasi gani.
Miezi sita Mkuu,Utalipa kodi ya mwezi mmoja kwa dalali Na Ten ya kupelekwa kuiona baada ya kulizishwa nayo ktk picha
 
Maduka 9
Nina Chumba, Sebure,jiko Nyumba Mpya nzuri sana haina Fensi bei lk 1 picha zinakuja umbali dakika 10 kutoka barabarani kwa miguu

0767-241001whatsup
Tuambie unataka wapi Nyumba sisi kazi yetu n kukutafutia
 
Back
Top Bottom