House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Bado mnatafuta NYUMBA/PLOT MWANZA?

  • 1.Ndio

    Votes: 5 83.3%
  • 2.Hapana

    Votes: 1 16.7%
  • 3.Sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    6
  • Poll closed .
Bwiru
Nyumba Kubwa
Vyumba 9
Master room 3
Sebure chini Na juu
Dinning chini Na juu
Fensi kubwa
Krbu Na Barabara ya Bwiru
Public Toilet chini Na juu
Bei mil 1.8 kwa mwenzi
Karibu sana
0767-241001(what's up)
0620-690670

NB
Tuambie Nyumba/Kiwanja unachotaka,sehemu,
kimepimwa/hakijapimwa LINI
tutakutafutia popote Mwanza
IMG_20190615_155037_413.JPG
IMG_20190615_154526_059.JPG
IMG_20190615_154504_352.JPG
IMG_20190615_154944_429.JPG
IMG_20190615_154916_613.JPG
IMG_20190615_154617_186.JPG
IMG_20190615_155020_488.JPG
 
Bwiru
Nyumba Kubwa
Vyumba 9
Master room 3
Sebure chini Na juu
Dinning chini Na juu
Fensi kubwa
Krbu Na Barabara ya Bwiru
Public Toilet chini Na juu
Bei mil 1.8 kwa mwenzi
Karibu sana
0767-241001(what's up)
0620-690670

NB
Tuambie Nyumba/Kiwanja unachotaka,sehemu,
kimepimwa/hakijapimwa LINI
tutakutafutia popote MwanzaView attachment 1128156View attachment 1128157View attachment 1128159View attachment 1128161View attachment 1128163View attachment 1128164View attachment 1128165
Ukipanga hii Nyumba unapewa nyongeza ya kajumba kadogo hako kanakoonekana kwenye picha
 
Kiloleni
Chumba sebure
Maji&umeme vinajitegemea
Fensi kubwa
Parking IPO
Mlinzi yupo
Dakika tano kutoka barabarani
Bei mil 1.4 miezi sita
Karibu sana
0767241001

NB
Taja Nyumba ya uwezo wako,bajeti,lini,wapi sisi tutakutafutia mkuu
IMG_20190615_170549_125.JPG
IMG_20190615_170532_321.JPG
IMG_20190615_170458_067.JPG
IMG_20190615_170444_609.JPG
IMG_20190615_170355_700.JPG
IMG_20190615_170340_493.JPG
 
Nyegezi
Vyumba vinne
Viwili master
Sebure kubwa
Pave block
Fensi kubwa
Bei mil 2.4
Miezi sita
Karibuni sana
0767-241001(what's up)
0620-690670

NB
Njoo ukiwa umejiandaa Nyumba n nzuri sana
Sema sifa za Nyumba unayotaka ,lini,wapi,bajeti yako sisi tutakutafutia popote
Thank you for support me
FB_IMG_1560607180502.jpg
FB_IMG_1560607186460.jpg
FB_IMG_1560607159058.jpg
FB_IMG_1560607164898.jpg
 
Nyegezi
Vyumba vitatu
Chumba kimoja master
Sebure kubwa
Parking kubwa
Maji&umeme uhakika&inajitegemea
Fensi
Pave block
Bei mil 2.4 miezi sita
0767-241001(what's up)
0620-690670
FB_IMG_1560613920876.jpg
FB_IMG_1560613913427.jpg
FB_IMG_1560613897406.jpg


NB
Asanteni sana jmn support n kubwa watu walikuwa Na changamoto kubwa za
nyumba/viwanja nawahaidi kuendelea kuwa daraja nzuri

Ndugu zangu Wa kipato cha kawaida Nyumba zenu zipo kila kona Semeni tu mnataka lini, wapi,sifa gani, bajeti yenu
 
Neila
Fremu za Biashara
Nzuri kwa furniture shop,
Super market,Babashop nk
Bei: mnaelewana Na mmiliki
0767-241001(what's up )
0620-690670

NB
Ninazo fremu nyingine nyingi mkuyuni bei elfu 80 kwa mwenzi
IMG_20190615_203929_832.jpg
IMG_20190615_203910_727.jpg
IMG_20190615_203946_163.jpg
 
Maduka 9
Nyumba vyumba 3
Fremu tano za maduka
master 1kubwa
Sitting room kubwa
Dining room kubwa
Public toilet
Store
Parking kubwa
Eneo 40*20
Jiko
HATI MILIKI IPO
Nyumba IPO sehemu nzuri sana
Bei mil70
0767-241001(what's up)
0620-690670

NB
Hii Nyumba unanunua Na kuhamia Na kuanza kuchukua kodi ktk hizo fremu tano

IMG_20190615_210604_683.jpg
IMG_20190615_210547_831.jpg
IMG_20190615_210713_638.jpg
IMG_20190615_210518_734.jpg
IMG_20190615_211649_520.jpg
IMG_20190615_210740_732.jpg
 
Nyamuhongoro
Nyuma ya shule ya msingi Casa
Wanaopenda maeneo makubwa
Sqm 1 = 5000/=
Dakika tano kutoka Musoma Rd
0767-241001what's up
0620-690670
FB_IMG_1560661902117.jpg
FB_IMG_1560661897985.jpg
FB_IMG_1560661636229.jpg
 
#Zaidi#ya#biashara#
A.LEO NTATOA SABABU ZA
KWANINI TUWATUMIE
MA-AFISA ARDHI AU
WANASHERIA KABLA YA
KUNUNUA KIWANJA AU
NYUMBA!!!

I.Afisa Ardhi anajua Ramani
yote ya Jiji
(zipo kwenye raptop/simu zao),
wapi kunamakaburi,soko,eneo la
wazi,Viwanda,makazi nk. hata
kama hapajapimwa.

II.Afisa Ardhi anasaidia sana
kuepusha migogoro isiyo ya
lazima kwa mnunuaji,muuzaji
au dalali (kwa hiyo hapa
unaondoa usumbufu wa kesi
ambazo sio muhimu na sizitaki)

III.Mwanasheria yeye anasaidia
kulinda haki ya mnunuaji au
muuzaji endapo mmoja kati
yao atabadilika au ataibua
jambo lolote badae

IV.Mwanasheria sio lazima afike
site yy anatakiwa awepo wkt
wa kuhahamisha document
kutoka A kwenda B kuhusu
Afisa Ardhi kama
eneo limepimwa MPE Namba
za Bikoni,Ramani au hati tu
atajua baada ya
kuangalia ktk Ramani zake
kama halijapimwa lazima afike
Site

B.GHARAMA
Gharama ya kuwawalipa hawa watu wawili n ndogo sana haizidi lk 3, naomba muwatumie sana hawa watu wapo kwa ajili yenu wateja wangu (angalia Kiwanja/Nyumba ukiipenda leta hawa jamaa unawahi wapi?
Kama hauna au uwafahamu kabisa mm ntakupatia lkn gharama utalipa ww Mteja wangu

NB :-1
Kwanini unatoa mamilioni ya Pesa kabla ya kujilidhisha kupitia hawa watu wawili (Afisa Ardhi&Mwanasheria)Mimi naita ubaili wa ajabu!!!

Binafsi mwaka wa 11 huu sipajui Polisi wala mahakani toka nimeaza hizi kazi zangu SABABU KUBWA N UWEPO WA HAWA WATU WAWILI.

Huu ni ushauri wa Bure utumie popote sio lazima kwangu,utakapo pata wazo LA kununua Ardhi au Nyumba msisahau kuna HATI FEKI,BIKONI FEKI, RAMANI FEKI.

Mungu awabariki sana wateja wangu,Muwe na jumapili Njema
Karibuni sana
0767-241001
0620-690670

NB:-2
Sema unataka wapi Kiwanja/Nyumba,lini,bajeti yako,sisi kazi yetu n kukutafutia popote kulingana na Namahitaji yako
 
#Zaidi#ya#biashara#
A.LEO NTATOA SABABU ZA
KWANINI TUWATUMIE
MA-AFISA ARDHI AU
WANASHERIA KABLA YA
KUNUNUA KIWANJA AU
NYUMBA!!!

I.Afisa Ardhi anajua Ramani
zima ya Jiji
(zipo kwenye raptop/simu zao),
wapi kunamakaburi,soko,eneo la
wazi,Viwanda,makazi nk. hata
kama hapajapimwa.

II.Afisa Ardhi anasaidia sana
kuepusha migogoro isiyo ya
lazima kwa mnunuaji,muuzaji
au dalali (kwa hiyo hapa
unaondoa usumbufu wa kesi
ambazo sio muhimu na sizitaki)

III.Mwanasheria yeye anasaidia
kulinda haki ya mnunuaji au
muuzaji endapo mmoja kati
yao atabadilika au ataibua
jambo lolote badae

GHARAMA
Gharama ya kuwawalipa hawa watu wawili n ndogo sana haizidi lk 3, naomba muwatumie sana hawa watu wapo kwa ajili yenu wateja wangu (angalia Kiwanja ukikipenda leta hawa jamaa unawahi wapi?
Kama hauna au uwafahamu kabisa mm ntakupatia lkn gharama utalipa ww Mteja wangu

NB :-1
Kwanini unato mamilioni ya Pesa kabla ya kujilidhisha kupitia hawa watu wawili (Afisa Ardhi&Mwanasheria)Mimi naita ubaili wa ajabu!!!

Binafsi mwaka wa 11 huu sipajui Polisi wala mahakani toka nimeaza hizi kazi zangu SABABU KUBWA N UWEPO WA HAWA WATU WAWILI.

Huu ni ushauri wa Bure utumie popote sio lazima kwangu,utakapo pata wazo LA kununua Ardhi au Nyumba msisahau kuna HATI FEKI,BIKONI FEKI, RAMANI FEKI.

Mungu awabariki sana wateja wangu,Muwe na jumapili Njema
Karibuni sana
0767-241001
0620-690670

MB:-2
Sema unataka wapi Kiwanja/Nyumba,lini,bajeti yako,sisi kazi yetu n kukutafutia popote kulingana na Nahitaji yako
Ubarikiwe sana ,,, ushauri murua
 
#Zaidi#ya#biashara#
A.LEO NTATOA SABABU ZA
KWANINI TUWATUMIE
MA-AFISA ARDHI AU
WANASHERIA KABLA YA
KUNUNUA KIWANJA AU
NYUMBA!!!

I.Afisa Ardhi anajua Ramani
yote ya Jiji
(zipo kwenye raptop/simu zao),
wapi kunamakaburi,soko,eneo la
wazi,Viwanda,makazi nk. hata
kama hapajapimwa.

II.Afisa Ardhi anasaidia sana
kuepusha migogoro isiyo ya
lazima kwa mnunuaji,muuzaji
au dalali (kwa hiyo hapa
unaondoa usumbufu wa kesi
ambazo sio muhimu na sizitaki)

III.Mwanasheria yeye anasaidia
kulinda haki ya mnunuaji au
muuzaji endapo mmoja kati
yao atabadilika au ataibua
jambo lolote badae

B.GHARAMA
Gharama ya kuwawalipa hawa watu wawili n ndogo sana haizidi lk 3, naomba muwatumie sana hawa watu wapo kwa ajili yenu wateja wangu (angalia Kiwanja/Nyumba ukiipenda leta hawa jamaa unawahi wapi?
Kama hauna au uwafahamu kabisa mm ntakupatia lkn gharama utalipa ww Mteja wangu

NB :-1
Kwanini unato mamilioni ya Pesa kabla ya kujilidhisha kupitia hawa watu wawili (Afisa Ardhi&Mwanasheria)Mimi naita ubaili wa ajabu!!!

Binafsi mwaka wa 11 huu sipajui Polisi wala mahakani toka nimeaza hizi kazi zangu SABABU KUBWA N UWEPO WA HAWA WATU WAWILI.

Huu ni ushauri wa Bure utumie popote sio lazima kwangu,utakapo pata wazo LA kununua Ardhi au Nyumba msisahau kuna HATI FEKI,BIKONI FEKI, RAMANI FEKI.

Mungu awabariki sana wateja wangu,Muwe na jumapili Njema
Karibuni sana
0767-241001
0620-690670

NB:-2
Sema unataka wapi Kiwanja/Nyumba,lini,bajeti yako,sisi kazi yetu n kukutafutia popote kulingana na Namahitaji yako
Ww n zaidi ya dalali!!! unaakili nyingi sana, unatupenda wateja wako hadi unakera!!! samahani hivi ulisema umehishia LA ngapi???
 
Endapo Afisa Ardhi akasema hili n eneo LA hosipitali hauone kama atakuwa amekupepelushia njiwa wako Mzee????
 
Endapo Afisa Ardhi akasema hili n eneo LA hosipitali hauone kama atakuwa amekupepelushia njiwa wako Mzee????
Hapana Mzee, kwanza ntashukuru sana kwa kuokoa Pesa za Mteja wangu, ndio maana nikaeleza umuhimu wa hawa watu wawili pale juu pia ameniokoa mm kwenye matatizo yasiyo ya muhimu mzee, kijiji kinanitegemea, then ntamtafutia Mteja eneo jingine na ntamuomba halete Afisa Ardhi yule yule kwa moyo mweupe kabisa
 
Ilemela
Kiwanja&fremu 5
Kina HATI
Kiwanja cha tatu toka
Kwenye RAMI
Dakika 1 toka kwenye rami
Unaweza kujenga Apartment/
Nyumba ya kuishi
Bei:Mil 40
SQM 700 (35*20)
Karibuni sana
0767-241001
0620-690670

NB
Ninaviwanja vingi sana vipo Bwiru, Vinaanzia mil 5(Top mountain view mji unaonekana vzr huku ukila upepo wa ziwa) msisaha kama Bwiru yote imepimwa
IMG_20190616_174747_439.jpg
FB_IMG_1560696424529.jpg
IMG_20190616_174644_769.jpg
IMG_20190616_174612_121.jpg
IMG_20190616_174623_638.jpg
FB_IMG_1560696137586.jpg
 
Bwiru
Eneo Tambalale
(yapo mawili pamoja)
Sqm 731
Sqm 610
Jirani na Kanisa katoliki na kwa NABII....
Dakika tano toka Bwiru Rd kwa miguu
Bei mil 20 kila moja
Angalia Ramani hapo chini
Eneo n sehemu zenye alama X
Mazungumzo yanapokelewa
Karibuni sana
0767-690670 what's up
0620-690670

NB
Hili eneo limejaa upako wa ajabu sana jirani yako n NABII MKUBWA SANA TZ( ntakuambia ukija what's up)
Screenshot_20190616-181204.jpg
Screenshot_20190616-181126.jpg
Screenshot_20190616-181151.jpg
Screenshot_20190616-181755.jpg
Screenshot_20190616-181814.jpg
 
Olimpic shell-Bohongwa
Vyumba viwili
Sebure kubwa
Choo ndani
Maji/umeme 24/7
Jiko lipo nje (unaweza kufungia gesi na mavyombo huko huko)
Dk 01Kufika Buhongwa Rd
Kodi kwa mwaka mil 2 endapo utalipa yote sawa na lk 1.67
lkn ukilipa miezi 6 chukua
Mil 2.5 gawa kwa 2
Wapangaji wawili tu
Parking kubwa sana
Karibuni sana
0767-241001
0620-620690

NB
Hii Nyumba kama huna familia utalala nje mageti yake sijui nani atakufungulia



Screenshot_20190616-185218.jpg
Screenshot_20190616-185204.jpg
Screenshot_20190616-185014.jpg
Screenshot_20190616-185108.jpg
Screenshot_20190616-185056.jpg
Screenshot_20190616-185138.jpg
Screenshot_20190616-185128.jpg
 
Olimpic shell-Bohongwa
Vyumba viwili
Sebure kubwa
Choo ndani
Maji/umeme 24/7
Jiko lipo nje (unaweza kufungia gesi na mavyombo huko huko)
Dk 01Kufika Buhongwa Rd
Kodi kwa mwaka mil 2 endapo utalipa yote sawa na lk 1.67
lkn ukilipa miezi 6 chukua
Mil 2.5 gawa kwa 2
Wapangaji wawili tu
Parking kubwa sana
Karibuni sana
0767-241001
0620-620690

NB
Hii Nyumba kama huna familia utalala nje mageti yake sijui nani atakufungulia



View attachment 1129288View attachment 1129290View attachment 1129294View attachment 1129295View attachment 1129296View attachment 1129297View attachment 1129298
+
Screenshot_20190616-185120.jpg
Screenshot_20190616-185120.jpg
 
Mwananchi uzunguni
Vyumba vitatu
Kimoja master
Public toilet ndani
Jiko
Sebure
Fensi kubwa
Pave block
Maji/umeme 24/7
Mil 3.6 kwa mwaka
miezi sita anapokea
Maeneo haya yametulia sana
Karibuni sana
0767-241001
0620-690670

NB
Nyumba za kupanga zipo kila kona kuanzia elfu 40 had mil 10+ njoo utuambie mahitaji yako sisi tutakutafutia popote
FB_IMG_1560701480618.jpg
FB_IMG_1560701489265.jpg
FB_IMG_1560701476442.jpg
FB_IMG_1560701454327.jpg
FB_IMG_1560701465238.jpg
FB_IMG_1560701450812.jpg
FB_IMG_1560701457548.jpg
FB_IMG_1560701443402.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_1560701465238.jpg
    FB_IMG_1560701465238.jpg
    40.2 KB · Views: 29
Back
Top Bottom