House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Bado mnatafuta NYUMBA/PLOT MWANZA?

  • 1.Ndio

    Votes: 5 83.3%
  • 2.Hapana

    Votes: 1 16.7%
  • 3.Sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    6
  • Poll closed .
Igogo,Butimba,Mabatini,Mahina,Capri-point,Bwiru,Ghana,Pasiansi,Ccm Kirumba,kishiri,National, Buzuruga, Maduka 9,Kisesa, Nyamuhongoro,nk kila sehemu nyumba zipo
Karibuni sana
0767-241001
0620-690670

NB
Taja sifa ya Nyumba unayotaka,mahali,Bajeti yako, lini? Sisi tutakutafutia kama uliyosema exactly,( n vzr tukajiandaa kabla yakutoa order)
 
Bwiru!!Bwiru!!
Karibu Na ziwani
Viwanja vilivyopimwa
40*45 (vipo vingi)
Bei kuanzia Mil 10+
Karibuni sana
0767-241001(what's up number)
0620-690670

NB:-
Tuambie Unataka Kiwanja wapi?,
cha ukubwa gani?,
je kimepimwa au akijapimwa?,
Mlimani au tambalale?.
Bajeti yako umepanga ngapi?
kazi yetu nikukupa kulingana Na Mahitaji yako exact

IMG_20190611_135553_599.JPG
IMG_20190611_135729_876.JPG
IMG_20190611_135553_599.JPG
 
Mkuyuni Mahina Gengeni
Vyumba 3
Sebule kubwa
Ndani ya Fensi
Mpangaji pekeyako
Bei Mil 1.8 kwa mwaka
Miezi sita anapokea
Dakika 2 kufika Barabara ya kwenda Kanyerere
Dakika 10 kufika Butimba kona
kwa miguu
0767-241001
0620-690670

NB
Njoo umejiandaa
IMG_20190611_142456_834.jpg
IMG_20190611_142548_608.JPG
IMG_20190611_142531_421.jpg


Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Mkuyuni Mahina Gengeni
Vyumba 3
Sebule kubwa
Ndani ya Fensi
Mpangaji pekeyako
Bei Mil 1.8 kwa mwaka
Miezi sita anapokea
Dakika 2 kufika Barabara ya kwenda Kanyerere
Dakika 10 kufika Butimba kona
kwa miguu
0767-241001
0620-690670

NB
Njoo umejiandaaView attachment 1124512View attachment 1124513View attachment 1124514

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Umeme/maji vipo 24/7

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Igoma
Vyumba 3
Sitting room
Dining room
Master room 1
Public toilet inside
Fensi kubwa
Dakika 5 kufika standi ya Magu
Bei Mil 3
Inatakiwa Kodi ya mwaka 1
Karibuni sana
0767-241001
0620-690670

NB:-1
Tunazo Nyumba mji mzima, ww tuambie vigezo vyako, bajeti yako, kazi ya kuzitafuta tuachia sisi. Tutaipata exact Nyumba unayotaka au almost97%

NB :-2
Natambua support kubwa nnayopata kutoka kwenu mungu awabariki sana ALA MSIKI
IMG_20190611_210945_665.jpg
IMG_20190611_210945_665.jpg
 
Mjini kati
Wajasiriamali wadogowadogo
(Wamachinga,vyakura +)
Zipo nafasi nyingi sana za kuweka Biashara zenu
Kuanzia Makoroboi,dampo,
sahara,Tanganyika nk
Wakati unapanga Bajeti yako Usisahau
kubeba 20,000/=
ya kitambulisho
cha serekali (mambo ya ujanjaujanja hayapo )
0767241001
 
Back
Top Bottom