House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Bado mnatafuta NYUMBA/PLOT MWANZA?

  • 1.Ndio

    Votes: 5 83.3%
  • 2.Hapana

    Votes: 1 16.7%
  • 3.Sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    6
  • Poll closed .
Buhongwa
Pembeni ya Mussabe Secondari
Boma limekamilika
Vyumba 3
Sebure kubwa
Eneo kubwa 40x54
Pamepimwa
Bei Mil 18
0767-241001
0620-690670
Karibuni


IMG_20190608_123558_352.jpg
 
Buhongwa 98% ni Nyumba MPYA
Chumba master single
range 50-70elfu
Lkn chumba na sebure andaa range 80-120 elfu
Bei HIZO nyingine mkuyuni &Butimba,
Maeneo ya Ghana, chumba sebure ambacho ni self contained Bei gani?
 
Nahitaji chumba master nikipata na kajiko itakuwa poa sana, maeneo ya Nyegezi, Nyakato, Igoma, Nyamongoro au kisesa kabisa bei isizidi 50000, mwezi wa saba mwishoni.

Hongera nimependa unavyofanya kazi.
Ila tu punguza kuandika kwa kifupi, usiwe unasahau kuandika bei na picha hasa nyumba/vyumba vya kupanga.
 
Nahitaji chumba master nikipata na kajiko itakuwa poa sana, maeneo ya Nyegezi, Nyakato, Igoma, Nyamongoro au kisesa kabisa bei isizidi 50000, mwezi wa saba mwishoni.

Hongera nimependa unavyofanya kazi.
Ila tu punguza kuandika kwa kifupi, usiwe unasahau kuandika bei na picha hasa nyumba/vyumba vya kupanga.
Asante sana Mkuu,
kwa ushauri mzuri sana
Muda ukifika tuwasiliane
0767-241001/0620-690670
Karibu
 
KWANINI TUJIANDAE!!!!

Mara nyingi kabla ya kuona Nyumba/kiwanja nnachokifanya Nakutumia picha zake nyingi kama ILIVYO (KIUNDANI 100%) Na unapo kuja unajua uhalisia Wa hiyo nyumba/Kiwanja

Stori 1
Bulare
Kunasiku niliende kumuonyesha MTU nyumba haijaisha vzr lkn inauzwa bei imechangamka kidogo, jamaa akaipenda SANA ilikuwa siku ya jumamosi jioni akasema kesho jumapili nakuja kuilipia (kwa bahati mbaya benk anayotumia haifanyi kazi siku ya jumapili)akahaidi kuja kuilipia jumatatu jioni akitoka kazini,

Jumapili asubuhi simu hii hapa, Mteja wa pili anataka kuiona hiyo nyumba nilioweka kule JF(hataki hata nimtumie picha nyingine nyingi what's up labda kule JF zilikuwa edited sana), Nyumba yenye sifa zile zile alizoziona JF,sisi tulienda kumuonyesha tukijua fika huyu nae hataweza kulipia leo kumbuka n asubuhi jumapili kwa hiyo akiipenda atakuja kesho kulipia labda jioni. Msisahau tunamteja wetu Namba moja kule juu, akasema nyumba ya namna hii ndio nilikuwa naitafuta muda mrefu sana, simple akasema naludi saa saba mchana jumapili hiyohiyo, tukashangaa jamaa kaja na team yake mwanasheria, afisa wa ardhi amewabeba sijui kawatoa wapi??,afisa ardhi
ana ramani za eneo lote kwenye raptop yake (mzee akakamilisha kila kitu palepale baadae tulivyomdodosa kwa undani kumbe yy benk yake inafanya kazi jumapili kuanzia SAA nne hadi SAA nane).

Mnajua nn kilifata toka kwa Mteja Wa kwanza .....
Tulimaliza badae lkn Ilichukua miezi zaidi ya mitatu kupata nyumba ya namna ile ile...sio burale ikawa Nyangomango

NB
Mambo hayo yanajitokeza kwenye viwanja,nyumba za kupanga, nk TUJIANDAE

Ww ukitupa kazi yako sisi hautalali tutaitafuta popote hadi ifanikiwe
MUNGU WABARIKI SANA WATEJA WANGU WAPATE PESA nyingi #HALARI#
0767-241001
0620-690670
 
Nyegezi STAND(kkkt church)
Chumba Sebule
Umeme&maji vipo
In case maji yakikatika kunakisima
Ndani ya Geti
Dakika 5kwa miguu toka stand
Bei lk 1x6=lk 6
Security kubwa
Jiko nje
Wapangaji wapo wa3 tu
Karibuni sana
0767-241001

NB-1
Njoo ukiwa umekamilika ukiona tu jinsi ilivyo nzuri nna hakika utaependa

Sio kwa umuhimu
Wapangaji acheni taa za WATU wkt mnahama KWANI mnazipeleka wapi???
IMG_20190610_201108_468.jpg
IMG_20190610_201204_212.jpg
IMG_20190610_201230_829.JPG
IMG_20190610_201338_844.jpg
 
Makalai-Eseni
Chumba Sebule
Maji & umeme 24hrs
Ipo ndani ya Fensi
Dakika 01 kutoka makalai stendi
Haina parking
Bei kwa mwenzi elfu 80x6=lk 480
Jiko lipo nje
0767-241001
NB
Njoo unejiandaa Mteja
Nyumba n Nyingi sana
IMG_20190610_123708.jpg
IMG_20190610_123949.jpg
IMG_20190610_123830.jpg
IMG_20190610_124138.jpg
IMG_20190610_123726.jpg
 
Stori 2
Page Fulani sijui ya kumi ktk huu Uzi
Kunamtu nilikura Pesa yake kwa sababu ya ubishi Wa kijinga kabisa, Mimi nimeweka nyumba hapa katika Uzi akasema hii nyumba haipo ISAMILO!!

Nikamuliza KWANINI unasema hii nyumba haipo Isamilo? akaeleza sababu zake nyingi, moja nnayoikumbuka vzr akasema hii n ya kuchora tu 3D,

Nikamwambia IPO chukua Namba yangu kwenye wall hapo, then njoo ofisini kwangu mjini ntakuonyesha,

Jamaa akachukua kweli bhana akaja (JF kunavituko sana jamaa anajiita jina LA ajabu sana lkn ukimuona n MTU mzr sana, very humble, decent&charming guy uwezi amini)

Akajitambulisha nikamuuliza ndio Ww kweli!!! akasema ndio mm nikamuambia fungua JF account kupitia hii ID (kwenye raptop fulani hapo ofcn)kweli akafungua bhana,nikaamini n yy,

Lkn hii nyumba ya mil 75 unaweza kuinunua ndugu yangu?? (msisahau nnakadegree kakufuga nyuki lkn naijua saikolojia ya nyuki wanavyokuwa hawataki usumbufu) akajibu HAPANA(very honest guy), nikamuuliza kwanini sasa unataka kuiona wkt huna uwezo nayo??

Akajibu mm siamini kama kunanyumba ya hivi!! hii n 3D picha (picha yakuchora tu)nikajibu OK

Sasa kama IPO!!akajibu nipo tayali kukupa lk 1,nikajibu kweli??
Akalazimisha Ww nipeleke nikaione, nikamuambia kama haipo mm ntakulipa lk2, nikijua labda jamaa atakata tamaa maana Na mm nnakofidensi ya AJABU SANA.

Cha ajabu jamaa akakomaa mwanzoni niliona kama utani.
Lkn badae nikagundua jamaa yupo VERY SERIOS nikamuambia twende.

Nikaweka mezani lk 2 jamaa akatoa lk 1 yake lkn akasema hawa WATU wako siwaamini watakupendelea ww kama haipo kweli(nikaona analogic kubwa), kwa bahati nzuri pembeni ya ofc yangu kuna DUKA, nikamuuliza vp yule dada wadukani unamuamini?? akajibu ndio,nikamuambia nenda kaweke kwa yule DADA pale dukani Pesa yako Na yangu akakubali bhana.

Safari ikaanza hadi Isamilo akakuta ile nyumba kama ilivyo kwenye PICHA AKASEMA KWELI KK,

Tukaludi ofisini nikachukua mzigo Dukani lk 3, badae ROHO YA IMANI IKANIJIA NIKAMLUDISHIA PESA ZAKE NIKAMUAMBIA USILUDIE TENA KUHALIBU BLAND ZA WATU lkn nikampa azabu NDOGO YA TOFALI(block)

Saizi kila week end yupo ofisini namfundisha kazi,namtuma kutafuta nyumba mtaani kila ORDER mpya inapopatikana BURE, siku akijua kazi vizuri NTAMUAJIRI nakumtolea TOFALI.

NB:1-
Tajeni nyumba/Viwanja mnavyotaka mm kazi yangu ni kuwatafutia kadri ya mahitaji yenu

NB:-2
Mungu awabariki sana WATEJA WANGU, ASANTENI SANA KWA SUPPORT YENU Mwanga unaongezeka sana kila siku.
0767-241001
 
Usagara-Misungwi
Viwawanja vipo vingi sana
Ukubwa tofauti tofauti
Kuanzia 30*35 nk
Ruksa kuviunganisha
Bei inaanzia mil 2.5 nk
0767-241001
IMG_20190611_070759_555.jpg
 
Nyegezi-Califonia
Vyumba 2
Sebure kubwa
jiko ndani
Choo cha wote ndani
Fensi
Bei lk 2.5x6= Mil 1.5
0767-241001
0620-690670
IMG_20190611_083625_338.jpg
 
Back
Top Bottom