mzeenyoka
Member
- Apr 28, 2019
- 77
- 52
Leo sioni picha front pg jmn, JF wamekuwaje??Mjini kati
Wajasiriamali wadogowadogo
(Wamachinga,vyakura +)
Zipo nafasi nyingi sana za kuweka Biashara zenu
Kuanzia Makoroboi,dampo,
sahara,Tanganyika nk
Wakati unapanga Bajeti yako Usisahau
kubeba 20,000/=
ya kitambulisho
cha serekali (mambo ya ujanjaujanja hayapo )
0767241001