House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Bado mnatafuta NYUMBA/PLOT MWANZA?

  • 1.Ndio

    Votes: 5 83.3%
  • 2.Hapana

    Votes: 1 16.7%
  • 3.Sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    6
  • Poll closed .
Mkuu inaenda kwa tsh ngapi hii kama ni reasonable nalipa ya mwaka kabisa naishi hapa national karibu na comfort hotel nijibu plizi
Sorry Mkuu hiyo nilipost trh 2/6 ikachukuliwa tarehe 4/6 mkuu endelea kutembelea hapa kesho ntapost Nyumba nyingi za maeneo hayo mkuu
 
Texas hills apartment
6 houses 1 compound
3 full furnished
2 bed room
Self contained
Sitting room
Kitchen
Gas cooker with oven
Public toilet
Heaters
Fruit trees
Garden& parking space
Furnished Apartment
annual 10mil
Normal apartment 6 mil annually
Welcome
0767-241001whatsup

NB
Nyumba za kupanga zipo za kila bei kuanzia elfu 40 hadi mil 3 kwa mwenzi, kila MTU atapewa kulingana na uwezo wake
 
Kwa kuongezea tu kodi inalipwa kwa mwaka
Wale mnaolipiwa na mashirika yenu ,mtafanya malipo kupitia Benki asanteni
 
NYAKATO
3 bedroom
Master room 1
Living room 1
Dinning room1
Kitchen
Store
Heaters
Dressing table master room
Stand by solar
Public toilet
Kabati za ukutani kila chumba
Cctv cameras
Fenced
Maji/Umeme 24/7
Bei mil 6 kwa mwaka
Anapokea miezi 6
0767-241001 what's up

NB
Tunazo Nyumba za kupanga/fremu kuanzia elf40 kwa mwenzi nk pia viwanja kuanzia mil 2 nk karibuni sana
 
Nyakato nyumba mpya
Master room
Sebure
Jiko
Maji/Umeme 24/7 inajitegemea
Bei mil 2 kwa mwaka
Miezi sita anapokea
Karibu sana na stendi
Karibuni sana
0767-241001 what'sup

NB
Zipo Nyumba za kila bei kuanzia elfu 40 hadi mil 3 kwa mwenzi
 
Wabongo hawajuii hata kutangaza vizuri kwa swala la pichaa.
Unakuta ana pigaa.

Kitasaa
Dirisha
Choo
Kona ya chumba
Ceiling board tena kipande
Jikoni ana piga robo nusu yanii hata kuona,huoni

Picha anaweka moja ambilii.

La mwisho anauza kama hana shidaa. Unakuta una muuliza kwa mwezi au mwaka anakuambiia njoo inbox. , ukienda inbox anaku force au kuku nyamazia kabisa.
 
Ushauri mzuri Mkuu ubarikiwe sana hiyo paragraph ya mwisho Mkuu umenisingizia kabisa kama kunawatu nimewahi kuwafanyia hivyo waje na screen short zangu mkuu always nipo upande Wa Mteja mkuu asante
 
Buzuruga
Vyumba viwili&sebure
Chumba kimoja master
Jiko
Ndani ya fensi
Maji&Umeme24/7 vinajitegemea
Bei mil 2•5 kwa mwaka
Miezi sita√√
0767-241001 whatsup
NB
Nyumba za kupanga zipo za watu wote,watu Wa kawaida,cha kati na cha juu kabisa kuanzia elfu 40 hadi mil 3 kwa mwz karibuni sana
 
Kama ya kuchora
Safisha macho tu
NB
Tunazo nyumba za kupanga,kununua, fremu pamoja na viwanja kila mahali Mwanza karibuni sana wateja kila MTU atapewa huduma kulingana na Namahitaji yake 0767-241001
 
hahahahaha
Inashangaza sana,Wiki moja badae the same guy:-
Anyway n uelewa tu ktk mambo ya Biashara kasome "theory of demand and supply mkuu" wkt mwingine bei kupungua au kupanda chanzo n wateja wenyewe

Labda nikupe REALITY SHOW moja
Jamaa mmoja alitangaza bei ya eneo lake kwa mil 50, lipo barabani kabisa, linafaa kwa sheli,shule, hoteli kifupi Biashara yoyote ile lkn wateja walivyokuwa wengi akaongeza mil 100 badae mambo yakawa vile vile mwisho akaliuza mil 250 HIVI SASA ENEO LINAJENGWA SHELI MBABE FULANI KALINUNUA


 
Buhongwa
Nyumba
Vyumba vitatu
Dinning RM
Livinging room
Master 1
Store
Jiko
Fensi
Eneo kubwa
Full document
Upimaji shirikishi
Karibu na barabara kuu
Bei mil 60
0767-241001whatsup
NB
Vitu vyote nnavyoweka humu bei zake sio kama SUPER MARKET
 
Igoma
Vyumba vitatu+2
Master 1
Dinning
Living RM
Jiko
Store
Pembeni yake
Kuna nyumba ndogo ya
Vyumba viwili
Bei mil 55
Eneo limepimwa document zote zipo
Karibuni watu wote
0767-241001whatsup

NB
Wazee wangu Wastafu msihangaike na mafundi kujenga nyumba(Pesa inamalizika hata ujahamia), zipo nyumba nyingi sana za kununua za kila Bei, ww unahamishia vitu vyako tu na maisha yanaendelea

 
Busweru
Viiwanja
Bei mil 2
Tambarare
Maeneo yamepimwa yote
0767-241001whatsup
NB
Viwanja vipo kila mahali
 
Mkuyuni
Chumba sebure
Chumba kimoja master
Ndani ya fensi
Jiko
Bei lk 1.2
Karibuni sana

NB
Chumba na sebure vipo vinavyoazia elfu 60,80 nk
 
Mkuyuni-mahina
Chumba sebure
Maji&umeme24/7
Fensi
Bei elf 60
0767-241001whatsup
NB
Zipo nyumba za kila Bei kila mahali kuanzia elf 40 nk

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…