ASANTENI SANA WATU WOTE NA MUNGU AWABARIKI SANA MLIOTUSAPOTI KUPITIA UNZI HUU.
Kipekee kabisa niwashukuru sana watu mliopo NJE ya MWANZA labda mnategemea kuhamia huku wengi wao nimekuwa nikiwatumia PICHA NA VIDEO TU, za Nyumba husika kisha wanatuma jamaa zao kuja kuthibitisha then wanalipia juu kwa juu wakiwa huko huko wengine hawana jamaa huku lkn WAKANIAMINI na kunipa pesa zao nikawalipie kwa mwenye nyumba (Hii inahusu nyumba Kali sana)
asanteni sana).
Pia nitumie fursa hii kuwaomba RADHI wale labda kwa namna moja au nyingine nilishindwa kutimiza matakwa yao pengine tulipishana kwenye muda au alinipa kazi ambayo nilishindwa kuikamilisha kwa wakati au alikuwa na pesa ndogo lkn alikosa nyumba aliyotaka
asanteni sana
Kipekee kabisa niwashukuru jinsia ya KE wao wamenichangamsha sana (familia ya baba na mama)Mama akipitisha tu hiyo nyumba ujue biashara imekamilika.
Asanteni sana
Mwisho lkn sio kwa umuhimu niwashukuru sana wenye nyumba wengi wao wamekuwa, yaani MTU anashida na nyumba na nikweli lkn kwa mfno kodi ya miezi sita labda n mil 1.2 lkn siku hiyo anakuja kulipia amebeba Mil 1. nyingine atamalizia mwisho Wa mwenzi wengi walikuwa wanaelewa au MTU anakodi ya miezi minne TU.Asanteni sana.
Niwatakia mwisho mwema Wa 2019 na mwanzo mzuri w 2020.
Mliopanga fikilieni kujenga mwakani viwanja tunavyo kila mahali hadi Vya Mil 1.
ASANTENI SANA MUNGU AWABARIKI
0767241001 call/whatsup