House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Bado mnatafuta NYUMBA/PLOT MWANZA?

  • 1.Ndio

    Votes: 5 83.3%
  • 2.Hapana

    Votes: 1 16.7%
  • 3.Sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    6
  • Poll closed .
Nyegezi
Stendi ya zamani
Vyumba vi 3
Self ki 1&jiko
Public toilet
Mpangaji mmoja tu
Sitting room
Parking RM
Dakika 2 toka stend ya zamani kwa kutembea
Bei mil 2.6 kwa mwaka
Miezi 6√√√

0767241001call/what's up
karibuni sana
NB
Huwezi kukosa nyumba unayotaka kwetu jmn sehemu yoyote Mwanza
 
Nyumba nzuriiii na bei ndo kabisa.
 
NYAMUHONGORO
HEKARU LINAPANGISHWA
VYUMBA VI5
SELF VYOTE
KILA CHUMBA KUNA KITANDA
DINNING & SITTING RM 2
OFISI 1
MAJI MOTO& BARIDI BAFUNI
PARKING NZURI
FENSI YA UMEME
SECURITY YA KUTOSHA(CAMERA )
BEI MIL 30 KWA MWAKA
MIEZI 6 √√√
0767241001CALL/WHATSUP
Karibuni sana
NB
Majumba yapo kila sehemu njooni tuwape nyumba nzuri kwa bei nzuri kuanzia elfu 40 hadi infinite
 
Buzuruga Shule
Chumba&Sebure&jiko
Bei lk 1.5 kwa mwenzi
0767241001call/what's up
Karibuni sana
 
Ghana
Chumba Sebure jiko
Bei lk 1.5 kwa mwenzi
Miezi 3√√√√√√√
0767241001call/whatsup
 
Mkuyuni(re advertising)
Apartment mpya
Vyumba 2
Self 1
Public toilet
Jiko,dinning&sitting RM,
Pave block,
Slide Windows (vioo)
Parking kubwa
Fensi Kubwa gari haionekani ukipita nje
Nyumba n mpya
Bei Mil 2.5 kwa mwaka
Miezi 6 √√√√√√√
Sio Uswahilini
Inajitegemea maji& umeme
ndani ya fensi moja zipo 3
0767241001call/whatsup

NB
Nyumba za kupanga ninazo nyingi sana kila MAHALI ww njoo tukupe nyumba nzuri ya UHAKIKA KWA BEI NZURI
 
Lumala
Vyumba v4
Self moja
Jiko&sitting & dinning rm
Public toilet
Ndani ya fensi moja zipo nyumba 2
Inajitegemea maji& umeme
Bei mil 5 kwa mwaka
Miezi 6 √√√
0767241001call/what's up
Karibuni sana
NB
Njoo tukupe nyumba nzuri kuanzia elfu 40 nk sehemu yoyote Mwanza
 
Mkuyuni(re advertising)
Nyumba mpya
Chumba self
Sebure
Jiko
Usalama wa kutosha
Get in kuna KENGERE
Bei lk 1.2 kwa mwenzi
Miezi 6√√ m
Mita 3 kutoka barabarani
0767241001 call/whatsup
 
Ghana
Karibu na ROCK CITY
Chumba self,Sebure&jiko
Bei lk 2 @ mwenzi
Miezi 3 √√√
0767241001call/whatsup
Karibuni sana

NB
Tunazo nyumba za watu wrote za kila bei
 
Ghana
Karibu na ROCK CITY
Chumba self,Sebure na jiko
Bei n lk 1.30
Anapokea miezi m3
IPO ndani ya fensi
0767241001call/what's up
NB
Tunazo nyumba za watu Wa vipato vyote
Karibuni sana
 
Ghana
Karibu na Rock city
Chumba self ,Sebure &jiko
Bei lk 1.50 kwa mwenzi
Anapokea miezi 3
Ndani ya fensi
0767241001call/whatsup
Karibuni sana

NB
Tunazo nyumba za watu wote kila Mahali
 
Nyegezi
nyumba mpya ya kisasa kali
Karibia na Jeshini

Vyumba vitatu
Self 1
Sitting RM& dinning rm& jiko
Public toilet
Bei mil 4
Miezi 6 √√
0767241001call/whatsup

NB
JF weken option ya KUBANDIKA
VIDEO HUMU PLZ jmn !!!!
 
Mkuu naomba ufafanuzi kidogo.Nimefatilia gharama za nyumba zako ila huwa sizielewi.

Kwa mfano unaposema 4M kwa mwaka maana yake kwa mwezi ni shilingi ngapi?

Natanguliza shukrani.
 
mkosa yote, Asante
Wenye nyumba wapo Wa aina mbili.
Kundi LA kwanza wanatoa kwa mtindo Wa kila mwenzi labda n lk 2, kwa mwaka itakuwa mil 2.4 wanataka walipwe labda miezi sita au mitatu au mwaka mzima

Kundi LA pili wao wanasema nyumba yangu nataka nilipwe mil 3,4 au 5 nk kwa mwaka lkn anapokea kwa miezi 6(nusu yake) labda n mil 1.5,2 au 2.5 nafikili nimekujibu Mkuu!!!swali lingine

Karibu tukuhudumie
 
Mecco
Apartment zinapangishwa
Chumba self, sebure & jiko
Kila moja inajitegemea maji & umeme
Bei mil 1.8 kwa mwaka
Miezi 6√√√
0767241001 tupigie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…