Kapage haka tu tutakuwa tunaongelea vitu vingine kabisa hasa vitabu hasa muda wa jioni
Leo ntamuelezea Raisi wa Marekani
Donald Trump kwa kifupi sana ameandika vitabu vingi sana ktk hivyo vipo ,Why we want you to be Rich,The Art of the Deal,Think like Champion nk
Ktk kitabu chake Think like Champion ameelezea mambo mengi sana pamoja na kuwa meneja wa Mike Tyson pia alikuwa anaendesha kipindi cha reality Show (maisha yake ya kila siku ya ukweli)lkn kuna kitu amekisema binafsi nimegundua ni mtu wa aina yake yy alilithi biashara za babayake baada ya kufa,baba yake Trump alikuwa mfanyabiashara wa kujenga nyumba za kifahari, mfn hoteli kama ya Malaika nyumba za kuishi matajiri wakubwa labda kule Capri point,ostebay na kuzipamgisha nk lkn Trump alivyokabidhiwa hiyo biashara akawa na malengo ya kuifanya iwe biashara kubwa duniani akaingia Benk kukopa ili ajenge Dunia nzima kwa bahati mbaya kila akikopa biashara inafilisiwa na benk na alifanya hivyo mara 24
Hadi chupuchupu mali alizoachiwa na babayake zifilisiwe, mwisho biashara ikasimama na kuwa miongoni mwamatajiri kumi wakubwa marekani
Ktk kitabu hiki yy anamtazamo chanya ktk kila jambo na anaamini hakuna msamiati wa kushindwa kwake. Na mwisho anasema ili mambo yako yafanikiwe usiogope changamoto lkn kubwa zaidi nikuwa mbunifu na kukwepa sana wtu ambao wanamtazamo wa wakushindwa ktk kila jambo,KunaSIRI KUBWA SANA KTK VITABU Obama wkt akiwa Raisi wa marekani ktk kipindi chake cha miaka nane kila mwaka alikuwa anasoma vitabu zaidi ya 100 kila mwisho wa mwaka anavibandika istagrama yake (kila mtu anajua Raisi wa dunia alivyo busy)
NB
Viwanja,fremu,nyumba za kupanga na kununua zipo kila mahari taja bajeti yako,wapi, na sifa ya kitu unachotaka Karibuni sana
0767-241001