Karibu upate ramani za nyumba kwa bei rahisi hapa

mkuu mimi nahitaji ramani ya nyumba ya uwani,, yaani vi apartment vilivyoungana vya kupangisha kila kinyumba kinajitegemea kwa choo, na sehemu ya kupikia na kinakua na room mbili na living room, eneo langu kubwa kiasai

Inaelekea unataka kuitwa baba mwenye nyumba?
 
mkuu mimi nahitaji ramani ya nyumba ya uwani,, yaani vi apartment vilivyoungana vya kupangisha kila kinyumba kinajitegemea kwa choo, na sehemu ya kupikia na kinakua na room mbili na living room, eneo langu kubwa kiasai

Check ur PM kiongozi.. I have the solution.
 
Mkuu nataka room tatu kulala moja master. Iwe pia na sitting na dining, jiko na kastoo kadogo na public toilet. Ni sh ngapi ramani yake?
 
mkuu mimi nahitaji ramani ya nyumba ya uwani,, yaani vi apartment vilivyoungana vya kupangisha kila kinyumba kinajitegemea kwa choo, na sehemu ya kupikia na kinakua na room mbili na living room, eneo langu kubwa kiasai

ok fanya tuwasiliane mkuu, just nitakutumia sample based on your idea
 
Mkuu nataka room tatu kulala moja master. Iwe pia na sitting na dining, jiko na kastoo kadogo na public toilet. Ni sh ngapi ramani yake?

hiyo nafanya kwa laki moja, welcome boss
 
Ok kabla ya bei ni lazima tukubaliane na.design jinsi nataka iwe. Mfano ukiingia living room main door kwa mbele iwe diningna jiko kulia na kastoo na master huko huko kulia. Kushoto niingie vyumba viwili na public toilet.
 
Michoro ya ghorofa floor moja. Upstairs vyumba vitatu self contained ila cha.master kitakuwa na bafu la kawaida plus tab plus dressing room, small private longe ghorofani. Chini study room cum library, inhouse gim, kitchen na stoo, living riom, dining room,
one bedroom self contained, public toilet. Hii ngapi?
 
hiyo design ni rahisi sana also tunaweza ku sketch kwenye karatasi tukakubaliana how should be or nikakuonyesha samples pia nitakupa technical advice
 
Michoro ya ghorofa floor moja. Upstairs vyumba vitatu self contained ila cha.master kitakuwa na bafu la kawaida plus tab plus dressing room, small private longe ghorofani. Chini study room cum library, inhouse gim, kitchen na stoo, living riom, dining room,
one bedroom self contained, public toilet. Hii ngapi?

hii itakuwa laki mbili tu
 
Nahitaji Ramani ya room 4 ya kisasa iwe Na maktaba ndan, mchoro wa garden na na swimming pool Na mandhari yote ya Nyumba ya kisasa
 
Back
Top Bottom