Karibu upate uyoga mbichi na mkavu

Asante kwa kunijibu na kunielewesha. Shida ya wakulima wa tz wanaishi kama Yatima. Serikali haijigusi wala haiwasaidii kwenye kitu chochote hadi pale wanapo taka kuingiza pesa, Soko la uyoga lipo juu sana kwenye mataifa ya Asia na Ulaya na pia kama serikali ingefanya kampeni walau ndogo ya kuhamasisha watu kula uyoga basi hali ingekua nzuri kidogo. Bila serikali kuingilia kati kwa kuzishirikisha wizara ya kilimo, wizara ya viwanda na Biashara na wizara ya mambo ya nje wakulima watabakia kuwa ma peasant (small scale farmers)
Altenativu ya hapo ni kwa wakulima kuwa na umoja but its too bad tokea tukiwa Primary school tunafundishwa ubinafsi na kutokushirikiana.
 
Asante sana umejibu vzr sana
 
Pia mkuu unaweza ukanunuwa nusu kilo kwa elfu 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…