Karibu usikilize wimbo wangu kisha utoe maoni

Kama mpenzi wa mziki, nimeamua kutengeneza hii ngoma na ni kwa mara ya kwanza nimefanya kila kitu mwenyewe kuanzia beat, mixing na mastering.

Hebu isikilizeni kisha mtoe maoni yenu...

Song: Moonlihht Serenade
Genre: Hip hop

Aisee,huu wimbo ni umekwenda skuliii.....uambatane awesome Manhood 😜
 
Mkuu,

Kama mdau wa music maoni yangu Ni haya:

Kwenye kuproduce naona una kitu,biti iko vizuri. Ila kwenye kuandika na kuflow mistari bado mwepesi Sana,umeandika mistari myepesi Kama ya mtoto wa darasa la 5,na unaimba kama umelazimishwa.

Pia beat ulilotengeneza Kama ungekuwa mkali wa kuchana lisingekupa Sana shida,maana Ni ngumu Kama si mzuri wa kuflow na beat. Limekaa Kama beat la RnB. Vuta picha anakaa mtu Kama Steve RnB au Ibra nation.

Ushauri wangu; jitafute kwenye kuproduce au Kama unapenda kurap basi fanya Sana mazoezi maana kwa utunzi ulichokiimba hapa na bado Sana.

Beat nakupa 80/100.

Uandishi Nakupa 5/100.

Flow/kuchana nakupa 15/100.
 
Production nafanya mwenyewe kwa kuwa nina historia ya kuzungushwa na maproducer hapo nyuma but siyo kipaumbele kivile...

Uandishi, nitafanyia kazi japo najua siyo mbaya kihivyo...

Flow, hili ni tatizo nalijua...
 
Ahsante kwa kuwakilisha maoni tuliyofanana
 
Production nafanya mwenyewe kwa kuwa nina historia ya kuzungushwa na maproducer hapo nyuma but siyo kipaumbele kivile...

Uandishi, nitafanyia kazi japo najua siyo mbaya kihivyo...

Flow, hili ni tatizo nalijua...
Utafika mbali sana. Siri moja ya mafanikio ni kukubali kukosolewa na kukiri mapungufu.

Nimeidownload nyimbo yako sababu ina beat nzuri sana.

All the best kaka.
 
Hapo kwenye 'beat nzuri' ndo pameniongezea kitu kingine maana sikuwa nafikiri kama hii beat ambayo mtu anaweza kusema ni beat zuri...🙏🏽🙏🏽
 
Imba gospel mkuu ..
Kama muslim kaswida.

Huku uliko hamna jipya..

Toa hiyo... Fuckin .. https://jamii.app/JFUserGuide
 
Kama mpenzi wa mziki, nimeamua kutengeneza hii ngoma na ni kwa mara ya kwanza nimefanya kila kitu mwenyewe kuanzia beat, mixing na mastering.

Hebu isikilizeni kisha mtoe maoni yenu...

Song: Moonlihht Serenade
Genre: Hip hop

Hongera sana, wewe ni kipaji!.
  1. Beat nzuri imetulia
  2. Rhyme pia nzuri umejitahidi sana kuzama na vina
  3. Kwenye lyrics kuna few typos
  4. Flow pia umejitahidi
  5. Genre yake ni hip hop, hivyo kama ni kipaji unacho ila kwa Bongo hip hop hautoki, wanamuziki karibu wengi wa hip hop wako chali!. Hivyo kama ni kuimba just for fun and hobbies, kitu iko poa ila kama ni kutoka na kutusua then boresha!.
NB. Umefanana na LL Cool J, nilipokusikiliza nikakumbuka I need love ukikomaa utakuwa kama huyu jamaa.
Sijajua kwanini hip hop Bongo wanafeli toka kwa akina Doplomatz ya Adili Kumbuka, wakaja kina Balozi Dola Soul', Ramsey, Sugu, Afande Sele, Fid Q, ndipo sasa zikaibuka East Coast na West Coast madogo wa Upanga wakaibuka kina Mwana FA na Temeke kina Juma Nature na wengine.

Mimi enzi hizo ni DJ on the Radio wa ExTS of RTD. Waanzilishi wa Bongo HipHop/Flava ni nani??
Hongera sana!.
P
 
Siyo siasa tu,hata huku uko deep Sana,big up.
Umechambua kisomi zaidi.,Safi.
 
Nashukuru kwa mchango wako...

Nafanya for fun, but kupata maoni ya watu ni vyema ili kuboresha maana inawezekana ukafanya for fun, ukapata fan base baadae ikaja kuwa business.
 
Hongera sana, wewe ni kipaji!.
  1. Beat nzuri imetulia
  2. Rhyme pia nzuri umejitahidi sana kuzama na vina
  3. Kwenye lyrics kuna few typos
  4. Flow pia umejitahidi
  5. Genre yake ni hip hop, hivyo kama ni kipaji unacho ila kwa Bongo hip hop hautoki, wanamuziki karibu wengi wa hip hop wako chali!. Hivyo kama ni kuimba just for fun and hobbies, kitu iko poa ila kama ni kutoka na kutusua then boresha!.
NB. Umefanana na LL Cool J, nilipokusikiliza nikakumbuka I need love ukikomaa utakuwa kama huyu jamaa.
Sijajua kwanini hip hop Bongo wanafeli toka kwa akina Doplomatz ya Adili Kumbuka, wakaja kina Balozi Dola Soul', Ramsey, Sugu, Afande Sele, Fid Q, ndipo sasa zikaibuka East Coast na West Coast madogo wa Upanga wakaibuka kina Mwana FA na Temeke kina Juma Nature na wengine.

Mimi enzi hizo ni DJ on the Radio wa ExTS of RTD. Waanzilishi wa Bongo HipHop/Flava ni nani??
Hongera sana!.
P

Mkuu hapana .
Yani I need love kabisa .!! Hapana.
 
Au umtafute yule msanii nguli wa mwanza hua yuko humu jukwaani mshirikiane kutoa kazi mbali mbali
 
Back
Top Bottom